Huwez kufukunyua Imani, unaweza kuamini au usiamini. Imani ya kikristo iko wazi kwa waamini toka enzi za mitume mpk leo, lusiferi ni shetani na baba wa uongo, aliyelaaniwa na anayesubiri hukumu ya kiama kufungwa milele, yeye na wafuasi wake wako duniani wakirubuni wanadamu na kujipatia wafuasi wapya wakitumia kila hila zikiwemo hizi za kutoa tafsiri "potofu" ya maandiko na kujifanya kutoa elimu na maarifa makubwa huku wakiwa na agenda yao ya Siri, hila ni nyingi lakini ukweli wa neno utadumu na kusimamia imara milele.
This is a personal thing. Haijaliashi uko wapi, Holly spirit comes over you personally, the rule no.1 is being born again, receive Jesus as the Lord and Saviour, repent and live right with God. The Holly spirit will come over and in you. Haijalishi ni pentecoste, muslim, catholic or whoever and wherever you areWho has a holy spirit ? , jehovah witness, Mormon , Catholic, baptists, pentecostals, Lutheran, Anglican au yupi kati ya madhehebu zaidi ya 50 000 tofauti ?
This is a personal thing. Haijaliashi uko wapi, Holly spirit comes over you personally, the rule no.1 is being born again, receive Jesus as the Lord and Saviour, repent and live right with God. The Holly spirit will come over and in you. Haijalishi ni pentecoste, muslim, catholic or whoever and wherever you are
Ndugu, kuanzisha Uzi siyo justification kuwa unajua kila kitu au ulicholeta hapa jukwaani ni sahihi.Unajua kusoma Biblia? au umeamua ku comment unachotaka wewe kujifurahisha?
Umesoma Revelation 22:16
Ndugu acha hizo.Ndugu, kuanzisha Uzi siyo justification kuwa unajua kila kitu au ulicholeta hapa jukwaani ni sahihi.
Kwa kifupi ni kwamba kuna terms mbili unachanganya:
(i) The bright morning star na pia,
(ii) The morning star.
Hizi terms zina maana tofauti.
Ok!Pale mnaposoma maandiko yenye spiritual essence but u dont even have a Holly spirit and you are not a born again christian.
Mtaishia kusoma bible just like academicians na haitawafaa kitu.
Umeandika kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer (Shetani), sawa?Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.
Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura
Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.
Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
View attachment 3057450
YESU NDIYE LUCIFER
Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer
Kwa kawaida wale ma GT huweka reference ya kile wanachochukua toka source fulani. Sielewi wewe ni GT wa wapi! Naona ktk Uzi wako unajiita GT.View attachment 3057474
Mamajusi waliiona Nyota
Nadharia za Kisayansi na Kihistoria
Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.
Kabla sijaendelea kuchangia hoja zangu kwa kina, nataka kujua Imani yako. Ni muhimu kujua, Nina maana.KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA
Mzee mjaribu na Lucifer wapi na wapi? Unatakiwa usime ujue tunaongelea nini. Usipende kujibu vitu nje ya mada.Umeandika kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer (Shetani), sawa?
Sasa ebu niambie jina la yule mjaribu wa Yesu katika Mat. 4:1-11.
Kwa kawaida wale ma GT huweka reference ya kile wanachochukua toka source fulani. Sielewi wewe ni GT wa wapi! Naona ktk Uzi wako unajiita GT.
Kabla sijaendelea kuchangia hoja zangu kwa kina, nataka kujua Imani yako. Ni muhimu kujua, Nina maana.
Ndugu acha hizo.
Bright ni kivumishi tu.
Na Morning Star inajulikana ni sayari ya Venus. Soma biblia kijana. Njoo na majibu ya kibiblia usilete maana zako mwenyewe.
NB: Wapi nimesema mimi nimeanzisha uzi
Kwavile umefungwa akili na kushindwa kutumia a little common sense you have, umeshindwa kujua ni kwanini kivumishi "bright" kimetumika upande wa Yesu Kristo na si huyo wa jina lako.Ndugu acha hizo.
Bright ni kivumishi tu.
Na Morning Star inajulikana ni sayari ya Venus. Soma biblia kijana. Njoo na majibu ya kibiblia usilete maana zako mwenyewe.
Kwani aliyeanzisha hii thread ni nani?NB: Wapi nimesema mimi nimeanzisha uzi
Nenda kapimwe akili. Huna uwezo wa kujadili mambo ya biblia. Endelea na imani ya kupapasaKwavile umefungwa akili na kushindwa kutumia a little common sense you have, umeshindwa kujua ni kwanini kivumishi "bright" kimetumika upande wa Yesu Kristo na si huyo wa jina lako.
Kwani aliyeanzisha hii thread ni nani?
BIG NO.kwa hivyo Holly Spirit anaweza kumjia personally at the same time Jehovah witness akasema Yesu si mungu hapo hapo akamjia Mkatoliki akamfanya aseme Yesu ni Mungu hapo hapo akamwingia mtu wa Satanic church akamwambia Shetani ndiye mungu ??
BIG NO.
Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni
- kumvuta mtu atubu dhambi
- kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
- kufufua holly devine Godlines inside a person.
- kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.
Hivyo Holly spirit anaweza akamshukia mtu wa satanuc church na akamgeuza na kukiri kuwa Yesu Kristo ni Mungu.
Mtu wa dini yoyote akipata fursa ya kupata Roho mttakatifu anageuzwa uoya (repentance) na kuacha uovu
Nb
Sorry for late response. Nimkekua off JF for long time sasa
Are a christian???Jee na yule aliyeshukiwa na Roho mtakatifu akawa Jehovah Witness na kukirui kuwa Yesu si mungu inakuwaje tena??
Na hawa wakristo waliobadilisha dini na huyo Roho mtakatifu anakuwa anawaongoza vipi ? au anakuwa hajielewi ??
Uliandika na nakunukuu wa wino mwenkundu hapa chini
Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni
- kumvuta mtu atubu dhambi
- kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
- kufufua holly devine Godlines inside a person.
- kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.
Swali
Jee, hizo kazi za Roho mtakatifu alijitangazia wapi ?? Kitabu kipi ??
Are a christian???
haya sio mambo ya kila mtu hata kama ni mkristo ambaye anaweza akakueleza kwa undani wake!.
Kuelewa kwa umdani kuhusu masuala ya Roho mtakatifu, ni muhim nimgekupitisha kwenye darasa la SOTIOLOGY . Hiv si vitu unaweza kuvielewa kama wewe ni mtu wa kwenda tu kanisani na kusomewa maandiko na kurud nyumban tuonane tena jumapil ijayo
U See now.. hiko sio kitabu mdogo angu.. the special detailed study dealing with holly spirit from the bible..Hicho ndicho kitabu ambacho Roho Mtakatifu alijitangazia kazi zake ??
U See now.. hiko sio kitabu mdogo angu.. the special detailed study dealing with holly spirit from the bible..
Una safar ndefu sana ya kuyajua haya ila sasa tatiz unatangukiza ujuaji na kukosoa usiyoyajua undani wake
Huenda ukawa sahihi na ndioa maana yesu akija mara ya pili, na watakaonyakuliwa nawe wataenda kwenye new heaven, na pia kutakuwa na new earth, na new jerusalem.Ugumu unatokana na "negative connotation" zetu juu ya uovu na shetani. Hakika, kinachoitwa dhambi kilianzia mbinguni.