Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Huwez kufukunyua Imani, unaweza kuamini au usiamini. Imani ya kikristo iko wazi kwa waamini toka enzi za mitume mpk leo, lusiferi ni shetani na baba wa uongo, aliyelaaniwa na anayesubiri hukumu ya kiama kufungwa milele, yeye na wafuasi wake wako duniani wakirubuni wanadamu na kujipatia wafuasi wapya wakitumia kila hila zikiwemo hizi za kutoa tafsiri "potofu" ya maandiko na kujifanya kutoa elimu na maarifa makubwa huku wakiwa na agenda yao ya Siri, hila ni nyingi lakini ukweli wa neno utadumu na kusimamia imara milele.
Mbona hujaleta ushahidi wa biblia kuthibitisha hayo maneno yako ?