Biblical Interpretation: Shetani siyo Lucifer, Lucifer ni Yesu (King James Isaiah 14:12 and Revelation 22:16)

Huwez kufukunyua Imani, unaweza kuamini au usiamini. Imani ya kikristo iko wazi kwa waamini toka enzi za mitume mpk leo, lusiferi ni shetani na baba wa uongo, aliyelaaniwa na anayesubiri hukumu ya kiama kufungwa milele, yeye na wafuasi wake wako duniani wakirubuni wanadamu na kujipatia wafuasi wapya wakitumia kila hila zikiwemo hizi za kutoa tafsiri "potofu" ya maandiko na kujifanya kutoa elimu na maarifa makubwa huku wakiwa na agenda yao ya Siri, hila ni nyingi lakini ukweli wa neno utadumu na kusimamia imara milele.

Mbona hujaleta ushahidi wa biblia kuthibitisha hayo maneno yako ?
 
Who has a holy spirit ? , jehovah witness, Mormon , Catholic, baptists, pentecostals, Lutheran, Anglican au yupi kati ya madhehebu zaidi ya 50 000 tofauti ?
This is a personal thing. Haijaliashi uko wapi, Holly spirit comes over you personally, the rule no.1 is being born again, receive Jesus as the Lord and Saviour, repent and live right with God. The Holly spirit will come over and in you. Haijalishi ni pentecoste, muslim, catholic or whoever and wherever you are
 
  • Thanks
Reactions: I M

kwa hivyo Holly Spirit anaweza kumjia personally at the same time Jehovah witness akasema Yesu si mungu hapo hapo akamjia Mkatoliki akamfanya aseme Yesu ni Mungu hapo hapo akamwingia mtu wa Satanic church akamwambia Shetani ndiye mungu ??
 
Unajua kusoma Biblia? au umeamua ku comment unachotaka wewe kujifurahisha?
Umesoma Revelation 22:16
Ndugu, kuanzisha Uzi siyo justification kuwa unajua kila kitu au ulicholeta hapa jukwaani ni sahihi.
Kwa kifupi ni kwamba kuna terms mbili unachanganya:
(i) The bright morning star na pia,
(ii) The morning star.
Hizi terms zina maana tofauti.
 
Ndugu acha hizo.

Bright ni kivumishi tu.

Na Morning Star inajulikana ni sayari ya Venus. Soma biblia kijana. Njoo na majibu ya kibiblia usilete maana zako mwenyewe.

NB: Wapi nimesema mimi nimeanzisha uzi
 
jesus and lucifer.jpeg
 
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.

Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura

Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.

Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
View attachment 3057450

YESU NDIYE LUCIFER​

Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer
Umeandika kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer (Shetani), sawa?
Sasa ebu niambie jina la yule mjaribu wa Yesu katika Mat. 4:1-11.
View attachment 3057474

Mamajusi waliiona Nyota

Nadharia za Kisayansi na Kihistoria

Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.
Kwa kawaida wale ma GT huweka reference ya kile wanachochukua toka source fulani. Sielewi wewe ni GT wa wapi! Naona ktk Uzi wako unajiita GT.
KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA
Kabla sijaendelea kuchangia hoja zangu kwa kina, nataka kujua Imani yako. Ni muhimu kujua, Nina maana.
 
Umeandika kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer (Shetani), sawa?
Sasa ebu niambie jina la yule mjaribu wa Yesu katika Mat. 4:1-11.

Kwa kawaida wale ma GT huweka reference ya kile wanachochukua toka source fulani. Sielewi wewe ni GT wa wapi! Naona ktk Uzi wako unajiita GT.

Kabla sijaendelea kuchangia hoja zangu kwa kina, nataka kujua Imani yako. Ni muhimu kujua, Nina maana.
Mzee mjaribu na Lucifer wapi na wapi? Unatakiwa usime ujue tunaongelea nini. Usipende kujibu vitu nje ya mada.

Tangu awali nimeeleza kabisa kuwa. Neno Lucifer limeonekana mara moja tu kwenye Biblia version ya King James. Version zingine hazina neno Lucifer.

Neno Lucifer ni neno la kilatini lenye maana ya Nyota ya asubuhi, kwa kiswahili inaitwa Zuhura

Neno Lucifer halina uhusiano wowote na hiki unachoandika.

Soma mada uielewe inaongelea nini

Kisha
Soma biblia acha kusimuliwa
 
Ndugu acha hizo.

Bright ni kivumishi tu.
Na Morning Star inajulikana ni sayari ya Venus. Soma biblia kijana. Njoo na majibu ya kibiblia usilete maana zako mwenyewe.

NB: Wapi nimesema mimi nimeanzisha uzi

Ndugu acha hizo.

Bright ni kivumishi tu.
Kwavile umefungwa akili na kushindwa kutumia a little common sense you have, umeshindwa kujua ni kwanini kivumishi "bright" kimetumika upande wa Yesu Kristo na si huyo wa jina lako.
Na Morning Star inajulikana ni sayari ya Venus. Soma biblia kijana. Njoo na majibu ya kibiblia usilete maana zako mwenyewe.

NB: Wapi nimesema mimi nimeanzisha uzi
Kwani aliyeanzisha hii thread ni nani?
 
Kwavile umefungwa akili na kushindwa kutumia a little common sense you have, umeshindwa kujua ni kwanini kivumishi "bright" kimetumika upande wa Yesu Kristo na si huyo wa jina lako.

Kwani aliyeanzisha hii thread ni nani?
Nenda kapimwe akili. Huna uwezo wa kujadili mambo ya biblia. Endelea na imani ya kupapasa
 
kwa hivyo Holly Spirit anaweza kumjia personally at the same time Jehovah witness akasema Yesu si mungu hapo hapo akamjia Mkatoliki akamfanya aseme Yesu ni Mungu hapo hapo akamwingia mtu wa Satanic church akamwambia Shetani ndiye mungu ??
BIG NO.
Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni

  • kumvuta mtu atubu dhambi
  • kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
  • kufufua holly devine Godlines inside a person.
  • kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.

Hivyo Holly spirit anaweza akamshukia mtu wa satanuc church na akamgeuza na kukiri kuwa Yesu Kristo ni Mungu.

Mtu wa dini yoyote akipata fursa ya kupata Roho mttakatifu anageuzwa uoya (repentance) na kuacha uovu

Nb

Sorry for late response. Nimkekua off JF for long time sasa
 
Hebu tumuelewe lakini pia tumrekebishe Venus Star kwa upole.

Kwamba ni tafsiri ya neno Lucifer kutoka latin ni Morning Star kwa kiingereza.

Hivyo katika maandiko ya Isaya na yale ya Ufunuo wa Yohana, neno Lucifer/morning star limetumika kama sifa ya nafsi.

Naungana na mtoa mada kwamba Iblis alikuwa na hiyo sifa ya Lucifer na pia YESU Kristo Bwana amejitaja kama Lucifer kwa kilatini.

Ila kwa sasa Iblis siyo lucifer tena maana hiyo sifa iliondoka.

Hivyo kumbe tutarajie kus
 
BIG NO.
Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni

  • kumvuta mtu atubu dhambi
  • kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
  • kufufua holly devine Godlines inside a person.
  • kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.

Hivyo Holly spirit anaweza akamshukia mtu wa satanuc church na akamgeuza na kukiri kuwa Yesu Kristo ni Mungu.

Mtu wa dini yoyote akipata fursa ya kupata Roho mttakatifu anageuzwa uoya (repentance) na kuacha uovu

Nb

Sorry for late response. Nimkekua off JF for long time sasa

Jee na yule aliyeshukiwa na Roho mtakatifu akawa Jehovah Witness na kukiri kuwa Yesu si mungu inakuwaje tena??

Na hawa wakristo waliobadilisha dini na huyo Roho mtakatifu anakuwa anawaongoza vipi ? au anakuwa hajielewi ??

Uliandika na nakunukuu wa wino mwekundu hapa chini

Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni

  • kumvuta mtu atubu dhambi
  • kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
  • kufufua holly devine Godlines inside a person.
  • kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.

Swali

Jee, hizo kazi za Roho mtakatifu alijitangazia wapi ?? Kitabu kipi ??
 
Jee na yule aliyeshukiwa na Roho mtakatifu akawa Jehovah Witness na kukirui kuwa Yesu si mungu inakuwaje tena??

Na hawa wakristo waliobadilisha dini na huyo Roho mtakatifu anakuwa anawaongoza vipi ? au anakuwa hajielewi ??

Uliandika na nakunukuu wa wino mwenkundu hapa chini

Moja ya kazi ya Roho mtakatifu Wa Kweli wa Mungu ni

  • kumvuta mtu atubu dhambi
  • kuushuhudia ukimwengu(mtu) kwa habar ya dhambi na hukumu za haki za Mungu
  • kufufua holly devine Godlines inside a person.
  • kumuwezesha mtu kuuchukia uovu na kuishi maisha maisha ya kutengwa na dhambi.

Swali

Jee, hizo kazi za Roho mtakatifu alijitangazia wapi ?? Kitabu kipi ??
Are a christian???
haya sio mambo ya kila mtu hata kama ni mkristo ambaye anaweza akakueleza kwa undani wake!.
Kuelewa kwa umdani kuhusu masuala ya Roho mtakatifu, ni muhim nimgekupitisha kwenye darasa la SOTIOLOGY . Hiv si vitu unaweza kuvielewa kama wewe ni mtu wa kwenda tu kanisani na kusomewa maandiko na kurud nyumban tuonane tena jumapil ijayo
 
Hicho ndicho kitabu ambacho Roho Mtakatifu alijitangazia kazi zake ??
 
U See now.. hiko sio kitabu mdogo angu.. the special detailed study dealing with holly spirit from the bible..
Una safar ndefu sana ya kuyajua haya ila sasa tatiz unatangukiza ujuaji na kukosoa usiyoyajua undani wake
 
Hapo umekusudia bible ipi kati bilia zaidi ya elfu 10 000 zilizo tofauti ?? KJV, QJV, AV, NIV, Satanic Bible , Mormon bible ..........
 
Ugumu unatokana na "negative connotation" zetu juu ya uovu na shetani. Hakika, kinachoitwa dhambi kilianzia mbinguni.
Huenda ukawa sahihi na ndioa maana yesu akija mara ya pili, na watakaonyakuliwa nawe wataenda kwenye new heaven, na pia kutakuwa na new earth, na new jerusalem.

Hii sasa itaondoa dhambi ilioingia mbinguni ya sasa, (ambayo nadhani ililetwa na Adamu alipoasi)

Nikipata muda huenda nikaja na scriptures za kuusapoti hii hoja yangu.

Ila ukisoma kwenye ufunuo 20 nadhani inaelezea kuhusu ujenzi wa mbingu mpya, etc.

So Yesu yupo kazini, yeye ndio architecture anajenga vyote hivi, (isaya 65:17) na ipo mistari kwenye vitabi vya paulo inayothibitisha haya yote.

Naendelea kusoma comments zingine
 
Back
Top Bottom