Biblical Interpretation: Shetani siyo Lucifer, Lucifer ni Yesu (King James Isaiah 14:12 and Revelation 22:16)

mgen , MK254, imeloa ,
Funguka maradhi Yako Ili Upewe dawa muafaka dogo!
Halafu umeniaminisha kwamba wewe kwako Biblia ni Jibu, quran umeitupilia MBALI Asante👏👏👏
Huu ni Ushahidi Kwa koloani Haina msaada kwako!
👇👇
لِّكُلِّ أُمَّةٍ جَعَلْنَا مَنسَكًا هُمْ نَاسِكُوهُ ۖ فَلَا يُنَازِعُنَّكَ فِي الْأَمْرِ ۚ وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ ۖ إِنَّكَ لَعَلَىٰ هُدًى مُّسْتَقِيمٍ

[ AL -HAJJ - 67 ]
Kila umma tumewajaalia kawaida Yao ya ibada na sheria zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na waite watu kwendea kwa Mola wako Mlezi. Hakika wewe uko kwenye Uwongofu Ulio
Nyooka.

Sisi Wafuasi wa Yesu Tunasoma Agano Kongwe Ili kukumbuka Historia ya Wokovu Wetu! Na Si zaidi Wala pungufu ya Hapo!

Ila nakutahadharisha maadamu umo humu una Option Hizi!
1-Uretard!
2-Ukufuru
3-Uvae mkanda na kujilipua
Muda Utasema!
 
V
Big mistakes
12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
Isaya 14:12

13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
Isaya 14:13

14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
Isaya 14:14

15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
Isaya 14:15
Hizi ni hadithi za kijinga na za kitoto ambazo ziliandikwa kwa ustadi wa lugha ya kificho au alama hili kuhifadhi siri za sifa za kinajimu kulihusu anga na umbile lake mfano katika kifungu hiki mwandishi analiongelea jua tokea machweo yake na jinsi linavyopevuka mchana na kuwa nyota pekee ionekanayo angani na jioni urejeshwa katika anguko lake au kuzimu/gizani...hivyo hizo hadithi za kale kuhusu anga zisiwapotezeeni muda watu wenye upeo katika karne ya 21 kwa kuzigeuza imani na kuziabudu huku mkijiuliza maswali mengi yasiyo na kichwa wala miguu kila kukicha tukiishia kujaza server za JF
 
Pale mnaposoma maandiko yenye spiritual essence but u dont even have a Holly spirit and you are not a born again christian.
Mtaishia kusoma bible just like academicians na haitawafaa kitu.
 
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.

Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura

Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.

Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
View attachment 3057450

YESU NDIYE LUCIFER​

Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer

View attachment 3057474

Mamajusi waliiona Nyota

Nadharia za Kisayansi na Kihistoria

Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.

KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA

huko ni kujichanganya tu, bila sababu. BWANA YESU ni huyu anayesemwa hapa na Roho Mtakatifu.

“Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

— Isaya 9:6 (Biblia Takatifu)

Huyu ndiye Yesu!
 
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.

Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura

Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.

Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
View attachment 3057450

YESU NDIYE LUCIFER

Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer
Umeanza Uzi wako vizuri but ukaja kuboronga hapa nilipo bold kwa red.
Nikipata muda nitafafanua.
View attachment 3057474

Mamajusi waliiona Nyota

Nadharia za Kisayansi na Kihistoria

Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.

KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA
 
Ukitaka kuelewa hiyo CAP anzia hapa:

Isaya 14: 3 Tena itakuwa katika siku ile, ambayo Bwana atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;

Isaya 14: 4 utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!

Utaelewa hapo alikuwa anaongelewa Mfalme wa Babeli
Soma tena hiyo Isaya 14:4 kwa kina. Ndiyo, ni Kuhusu King of Babylon kisha shuka taratibu aya kwa aya hadi Isaya 4:23. Aya zote hizo zinahusu King of Babylon. Inakuwaje sasa Masiha Yesu Krito awe lucifer?

Umesema the morning star ni sayari ya Venus. Kwa mantiki hiyo, je unataka kutuambia nini kuhusu the morning stars katika Ayubu 38:7?
 
Unajua kusoma Biblia? au umeamua ku comment unachotaka wewe kujifurahisha?
Umesoma Revelation 22:16
 
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.

Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura

Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.

Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
View attachment 3057450

YESU NDIYE LUCIFER​

Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi Lucifer

View attachment 3057474

Mamajusi waliiona Nyota

Nadharia za Kisayansi na Kihistoria

Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.

KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA
Nyota ya Asubuhi imefahamika na mababa wa Kanisa kama Shetani aliyekuwa kwanza malaika (Lucifer). Hivyo, Lucifer ni Shetani. Katika hiyo Aya katika kitabu Cha Isaya 14:12 ndo kabisa Mfalme wa Babeli alifananishwa na Shetani aliyekuwa kwanza juu lakini alikuja kushushwa hadi chini na ufalme wa Babeli ulikujankushushwa. Hivyo, nyota ya Asubuhi au Lucifer ni Shetani
 
Soma Revelation 22:16 kisha utupatie maelezo
 
Nawalaumu watunzi wa kitabu. Wewe ni great thinker na mfukunyuzi wa mambo yenye kuogofya.
Huwez kufukunyua Imani, unaweza kuamini au usiamini. Imani ya kikristo iko wazi kwa waamini toka enzi za mitume mpk leo, lusiferi ni shetani na baba wa uongo, aliyelaaniwa na anayesubiri hukumu ya kiama kufungwa milele, yeye na wafuasi wake wako duniani wakirubuni wanadamu na kujipatia wafuasi wapya wakitumia kila hila zikiwemo hizi za kutoa tafsiri "potofu" ya maandiko na kujifanya kutoa elimu na maarifa makubwa huku wakiwa na agenda yao ya Siri, hila ni nyingi lakini ukweli wa neno utadumu na kusimamia imara milele.
 
Duuh!
 
Funguka maradhi Yako Ili Upewe dawa muafaka dogo!
Halafu umeniaminisha kwamba wewe kwako Biblia ni Jibu, quran umeitupilia MBALI Asante👏👏👏
Huu ni Ushahidi Kwa koloani Haina msaada kwako!
👇👇
لِّكُلِّ أُمَّةٍ جَعَلْنَا مَنسَكًا هُمْ نَاسِكُوهُ ۖ فَلَا يُنَازِعُنَّكَ فِي الْأَمْرِ ۚ وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ ۖ إِنَّكَ لَعَلَىٰ هُدًى مُّسْتَقِيمٍ

[ AL -HAJJ - 67 ]
Kila umma tumewajaalia kawaida Yao ya ibada na sheria zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na waite watu kwendea kwa Mola wako Mlezi. Hakika wewe uko kwenye Uwongofu Ulio
Nyooka.

Sisi Wafuasi wa Yesu Tunasoma Agano Kongwe Ili kukumbuka Historia ya Wokovu Wetu! Na Si zaidi Wala pungufu ya Hapo!

Ila nakutahadharisha maadamu umo humu una Option Hizi!
1-Uretard!
2-Ukufuru
3-Uvae mkanda na kujilipua
Muda Utasema!

Pata dawa hii

View: https://youtu.be/_hVtDSqwn54
 
Pale mnaposoma maandiko yenye spiritual essence but u dont even have a Holly spirit and you are not a born again christian.
Mtaishia kusoma bible just like academicians na haitawafaa kitu.

Who has a holy spirit ? , jehovah witness, Mormon , Catholic, baptists, pentecostals, Lutheran, Anglican au yupi kati ya madhehebu zaidi ya 50 000 tofauti ?
 
Back
Top Bottom