Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi,

Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California.

Malipo haya yatatumika kununua mahema. Yaani unaunguliwa nyumba unapewa dola 700 pesa ya iphone. Pesa zote wanapeleka Israel

Ikumbukwe kuwa, Marekani ilitenga jumla ya dola bilioni 17.9 kwa msaada wa kijeshi kwa Israel kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2024, ambayo ina maana ya takriban $1,845 kwa kila mlowezi wa Israel, huku Biden akitangaza kuwa serikali itatoa $770 kwa kila mkazi aliyeathiriwa na moto wa msituni LA.

==============================



Biden announces $770 one-time payments to victims of the California fires.

This payment will be utilized to purchase tents.
 
Wamarekaní wanasema ela anayopeleka ukraine inatosha kufidia hasara iliyopatikana
 
Wayahudi ndio wenye federal reserve mkuu, siku ukija kujua mzayuni ndio anambeba amerika utajua kama ulikua hujui
 
halafu manawacheka watawala wa africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…