Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

hatari sana
1736847185302.png

Imagine mwenye hii nyumba amepoteza vingapi, halafu unampa dola 770..
Kiukweli hili suala kimchezo mchezo linakwenda badili siasa za USA, pesa za walipa kodi zinatumika kumwaga damu za watu, walipa kodi wakipata shida msaada hakuna.....
USA wakati huu imepigwa na kitu kizito aisee, ni aibu

Karma is B!+ch..
 
Anapewa package ya silaha ambazo hadi thamani yake inatajwa. Na kumbuka watengeneza hizo silaha ni viwanda ambavyo ni private so zinanunuliwa. Ndiyo maana utasikia congress imepitisha package ya silaha zenye thamani ya kiasi fulani.
Jamaa alijua silaha zinazopelekwa Ukraine ni mawe na manati zilizotengenezwa kienyeji..
 
Marekani ilitenga jumla ya dola bilioni 17.9 kwa msaada wa kijeshi kwa Israel kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2024, ambayo ina maana ya takriban $1,845 kwa kila mlowezi wa Israel, huku Biden akitangaza kuwa serikali itatoa $770 kwa kila mkazi aliyeathiriwa na moto wa msituni LA.
 
hiyo ni kama shs za kitanzania milioni mbili, kwa Calfonia hiyo ni hela ndogo sana kwa sababu uchumi upo juu hivyo vitu ni bei juu sana
Wangeachana na hayo mavita ya kuwapiga waPalestina na kwingineko, wangeweza kutoa hela ya kueleweka
Wananchi wanaona Israel inafanya genocide Gaza na US is supporting it with billions of dollars..
Wanasema moto sababu ni climate change, sasa watumie hizo pesa kufanya climate change protection measures..
Mara mia hayo mapesa wanawalipa hao murderous butchers huko middle east wawalipe hao firefighters ambao kiukweli kazi yao ni ngumu...

American tax money is being mismanaged....

Na ninaamini hili suala litaleta mzozo sana tena sana, na ndipo wakome...
 
Halafu kwanini wanawashabikia jews wakati, jews wana tabia ya kutemea mate makanisa na kutukana Christians?
Hizi ni stori za kutoka masjid ubwabwa, hakuna muisraeli anayetemea mate makanisa. Israel wanaamini katika uhuru wa kuabudu.

Hayo mambo ya kunyanyasa watu wa imani zingine wanaozifanya wanajulikana duniani kote.
 
Hao watalipwa na bima hiyo serikali imewafanyia suna tu. Israel wameuziwa silaha na Marekani na hawajapewa bure halafu wewe hiyo inakupa tabu gani wakati nchini mwako kunafanyika ufujaji mkubwa wa fedha za umma lakini wala huongelei. Mnafiki mkubwa.
 
Tukumbushane tu kuwa; ISRAEL HAKUNA WAKRISTO au NISEME, HAKUNA WAFUASI WA YESU; na kama hakuna wakristo maana yake ni kuwa hakuna makanisa labda ubahatishe kanisa huko pembezoni kwani wafuasi wa Yesu hawafiki hata 1%
 
Hao watalipwa na bima hiyo serikali imewafanyia suna tu. Israel wameuziwa silaha na Marekani na hawajapewa bure halafu wewe hiyo inakupa tabu gani wakati nchini mwako kunafanyika ufujaji mkubwa wa fedha za umma lakini wala huongelei. Mnafiki mkubwa.
Wewe mlokole unangea fikra zako kutokq Uyole, 😂😂

Kasome Wamarekani wanavyolia.

Israel anakopwshwa silaha na pesa na anapewa bure silaha na pesa.
 
Hizi ni stori za kutoka masjid ubwabwa, hakuna muisraeli anayetemea mate makanisa. Israel wanaamini katika uhuru wa kuabudu.

Hayo mambo ya kunyanyasa watu wa imani zingine wanaozifanya wanajulikana duniani kote.
Ni kawaida yao kutemea mate makanisa au wakristo... endeleeni kujidanganya wagalatia kutoka Kipumbwiko..

View: https://www.youtube.com/shorts/sUJrXNCfUrk

View: https://www.youtube.com/shorts/7uL555xWQeE

View: https://www.youtube.com/shorts/7TwEQX6zwUI

Bishana na hizo video kumbe huwajui jews...
Umeona wenzako hapo na msalaba wao, nao walijua wakifika Jerusalem watapokelewa kwa shangwe...
 
Back
Top Bottom