Wanaukumbi.
BREAKING:
Biden announces $770 one-time payments to victims of the California fires.
This payment will be utilized to purchase tents.
===============
Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California.
Malipo haya yatatumika kununua mahema. Yaani unaunguliwa nyumba unapewa dola 700 pesa ya iphone. Pesa zote wanapeleka Israel.
View: https://x.com/currentreport1/status/1879090007925022803?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Marekani ilitenga jumla ya dola bilioni 17.9 kwa msaada wa kijeshi kwa Israel kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2024, ambayo ina maana ya takriban $1,845 kwa kila mlowezi wa Israel, huku Biden akitangaza kuwa serikali itatoa $770 kwa kila mkazi aliyeathiriwa na moto wa msituni LA.