Kumbe hadi dunia ya kwanza kuna siasa kama za Afrika. Sasa USD 770 kwa mtu mmoja aliyeadhirika na janga la moto inafidia nini? Nafahamu kuwa huko kwa wenzetu wana bima ya maisha, bima ya majengo tena wanalipa premium kubwa, lakini ukilinganisha ukubwa wa uchumi wa Marekani na misaada ya kijeshi na ya kiuchumi inayokwenda Israel utagundua kuwa wananchi wa Marekani wanateseka sana.
Kiasi hicho cha fedha unaweza kulinganisha na fidia iliyotolewa na serikali ya uchina kwenye maafa ya tetemeko la ardhi huko Tibet? Propaganda imezidi sana kwa nchi za magharibi kuliko uhalisia wa maisha yalivyo.