Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Wao wamarekani ndivyo walivyo zoea serikali yao kutokuwakumbatia kumbatia ndio maana hawaoni hata tatizo kodi zao kutumika kunufaisha watu wa nje.Haijalishi kwenye majanga serikali inatakiwa kuwapa msaada waathirika.
Marekani ina maelfu ya Homeless na wengine waathirika wakubwa wa madawa je wananchi wa marekani wameandamana mara ngapi kutaka serikali iwajengee Homeless nyumba waache kufa na baridi ?
Haya unayotaka wewe yafanywe na serikali ya Marekani ingekuwa China haiwajali wananchi wake ningekuelewa kutokana na namna nchi ya China ilivyo na serikali yake toka inaingia madarakani kwa mtindo wa kuenda kutetea peasants hivyo wanapaswa kuwajibika vile wawezavyo kwa wananchi wa China kwanza ndio kisha nje wasipofanya hivyo mapinduzi lazima yatokee wakati kwa marekani wamarekani wengi hawajalelewa serika iwa peti peti kwenye kila jambo wao wenywe hawajali hata serikali yao isipo wajengea nyumba.