Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

Kumbe hadi dunia ya kwanza kuna siasa kama za Afrika. Sasa USD 770 kwa mtu mmoja aliyeadhirika na janga la moto inafidia nini? Nafahamu kuwa huko kwa wenzetu wana bima ya maisha, bima ya majengo tena wanalipa premium kubwa, lakini ukilinganisha ukubwa wa uchumi wa Marekani na misaada ya kijeshi na ya kiuchumi inayokwenda Israel utagundua kuwa wananchi wa Marekani wanateseka sana.

Kiasi hicho cha fedha unaweza kulinganisha na fidia iliyotolewa na serikali ya uchina kwenye maafa ya tetemeko la ardhi huko Tibet? Propaganda imezidi sana kwa nchi za magharibi kuliko uhalisia wa maisha yalivyo.
 
 
Hii nchi ni masikini sana yaani dola Mia saba tu?
Tatizo Hela yote wameweka kwenye silaha za maangamizi kama Iran tu….
 
Utaki kuamini uliaminishwa uongo mwingi kuhusu Marekani.
Hela ndogo tu hiyo Marekani. Tena watalalamika wamepewa hela ndogo sasa hivi.

Mimi mwanzo wa mwezi huu nimekuta TRA ya Marekani (Internal Revenue Service) wamenitumia cheki ya karibu $ 1,000 ya kutoka kodi za mwaka 2021, inaonekana nilizidisha kuwalipa halafu walivyonirudishia hawakunirudishia vizuri. Wakafanya adjustment wakanirudishia tena mimi hata sikujua kuwa wana hela zangu.

Sijakaa vizuri, jimbo moja nina nyumba wamenitumia $1,500 kama cheki ya kawaida kwa mtu mwenye nyumba katika jimbo hilo.

Naanza mwaka nina karibu $2,500 za chapchap kutoka serikali za Marekani.

Hapo sijafanya tax returns za 2024 bado.
 
kwa maisha ya marekani ni pesa ndogo mbona!!!!
 
Hivi vijumba kama vibanda vya m-pesa.sasa mtu anawatoto watatu wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 utaishije?Hivi vijumba vilifaa Kwa mtu anayeishi peke yake na siyo familia.Mama hapa alitupiga
Ni bora lakini kuliko $770
 
Anajua matajiri washatajirika na Hela za insurance...kilichobaki ni mkono wa pole from Government
 
Hivi vijumba kama vibanda vya m-pesa.sasa mtu anawatoto watatu wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 utaishije?Hivi vijumba vilifaa Kwa mtu anayeishi peke yake na siyo familia.Mama hapa alitupiga
Mtoto mwenye zaidi ya miaka 18 anafanya nini kwa wazazi?
 
Hivi vijumba kama vibanda vya m-pesa.sasa mtu anawatoto watatu wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 utaishije?Hivi vijumba vilifaa Kwa mtu anayeishi peke yake na siyo familia.Mama hapa alitupiga
Kabla ya hizi walizokuwa wanakaa wao zilikuwa na ukubwa gani?
Anyway, something is better than nothing
 
Chuki dhidi ya Israel inawatafuna Sana waislam........Yani muislam anatamani kila mtu aichukie Israel kama Yeye alivyoathiriwa kisaikolojia na chuki isiopoa...Lakini kibaya Zaidi Israel ipo inazidi kuota mizizi na kufanikisha malengo yake.......

NB...Kama mungu wenu Allah subhana yupo?? mbona Yuko kimya,,,mbona hawasaidii watu wake WA jihadi wapalestina...mbona Hana msaada wowote Kwa umati WA Muhammad wanaokufa kama panzi kila kukicha??? Au kasafiri??? Au anaumwa na maradhi?? Au kupumzika?? Asw Yuko wapi?? Mbona anamuangalia Tu netanyahu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…