Biden awache kumtusi Putin. Hatutaki vita ya tatu ya dunia

Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi.

Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza kuwa siku mbili kabla ya tangazo la matokeo ya kura za maoni aliyosema Putin kuwa Urusi ina silaha za aina zote za maangamizi na inaweza ikazitumia.

Akaongeza kwa kusema kuwa hatanii kwa hilo. Na zaidi ya hayo Putina akakumbusha kuwa Marekani ndio ya mwanzo kutumiza silaha za nyuklia kumaliza vita ya pila ya dunia ilipoipiganazo Japan.

Kama kwamba na yeye anataka kuzitumia kumaliza vita ya Ukraine.

Mtu (Putin) anayesema hayo na kweli vitu hivyo anavyo si wa kumchezea wala kumkasirisha zaidi.

Vitisho vyake kama hivyo na dharau raisi Biden afanye kwa mataifa ya dunia ya tatu sio kwa mbabe mwenzake.

View attachment 2373424
Angekuwa mbabe mwenzake angemdharau kiasi hicho hadi kumtukana?
 
Putin ni hovyo tu ndivyo tunavyofahamu wengi wetu na kwa ujinga wake anatishia watu nyuklia wakati anafahamu fika kwamba wenzake wana nyuklia hatari kuzidi hizo alizonazo.

Katika dunia ya sasa huwezi ukafanya ujinga ukategemea watu wakuchekee tu kisa eti una nyuklia, hamna kitu kama hicho. Putin bure kabisa.
Usione marekan anatishia tu....urusi ana nguvu kwl upande wa vita ya anga ....kutumia nyuklia hashindwi japo ni ubinadam tu kwasababu nyuklia ni hatare Sana
 
Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi.

Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza kuwa siku mbili kabla ya tangazo la matokeo ya kura za maoni aliyosema Putin kuwa Urusi ina silaha za aina zote za maangamizi na inaweza ikazitumia.

Akaongeza kwa kusema kuwa hatanii kwa hilo. Na zaidi ya hayo Putina akakumbusha kuwa Marekani ndio ya mwanzo kutumiza silaha za nyuklia kumaliza vita ya pila ya dunia ilipoipiganazo Japan.

Kama kwamba na yeye anataka kuzitumia kumaliza vita ya Ukraine.

Mtu (Putin) anayesema hayo na kweli vitu hivyo anavyo si wa kumchezea wala kumkasirisha zaidi.

Vitisho vyake kama hivyo na dharau raisi Biden afanye kwa mataifa ya dunia ya tatu sio kwa mbabe mwenzake.

View attachment 2373424
Nani alete vita ya dunia, huyo ambae Ukraine imemshinda?
 
Kumbe unajua hakuna mshindi kwanini huoni shida mwenzako akitumia kabla yako.Itakuwa umepata hasara na yeye amepata hasara.Na unalosema pia halina mashiko. Fikiria hiyo nyuklia ikitua Newyork au washington mwanzo.Nani atakayeinuka kwenda kubonyeza kitufu cha kufyatua nyuklia yake.Hivyo uwezekano wa anayetumia mwanzo kuwa mshindi au atakayetia hasara kubwa upo.Kumbuka wakati Marekani alipondosha nyuklia Hiroshima na Nagasaki.Wajapani wote waliloa hawakujua nani aseme nini.Ikaonekana hakuna haja wala nguvu tena ya kuendelea na vita.
Unaakili ndogo sana kwahiyo wa kubonyeza kitufe yupo mjin
 
Bado akili yako haijazielewa silaha za nyuklia zinavyofanya kazi angalau kwa upeo wa kawaida.Mareknai nzima na vijiji vyake mbele ya silaha za nyuklia ni kama mji au kijiji kimoja.Na maeneo karibu yote ya kuziongoza silaha hizo yako ndani ya ramani ya Urusi.Anajua aanze kurusha wapi kombora la mwanzo na la pili litue wapi.
Kwa kifupi tusimchochee Mrusi kuzitumia silaha hizo ni hasara kwa dunia nzima.Marekana na nchi za NATO ziheshimu makubaliano ya kimataifa yanayolihusu taifa la Urusi.
 
Mimi umesema sielewi kitu.Na wewe unajidai tu ni ovyo kuliko mimi na hueleweki unakusudia kusema nini. Ya kwanza ikirushwa na nyingine hujibu automatically..Hii ina maana gani.
Hebu fafanua kidogo kama kweli unajua unachokisema.
I can see you don't have a basic knowledge of the Advanced Ballistic Science. Nuclear warheads are guided missiles that after being launched are guided by satellites to service the target 🎯

The high tech radar in the targeted country immediately receives the signal from the satellite detecting the launch of the nuclear warhead from an enemy country which automatically activates the launch of a nuclear warhead to reciprocate the action.

Patriot Air Defense System used this technology during the gulf war of 1991 to intercept the Iraqi Scud missiles.

Please be informed accordingly.
 
Mkuu unaniangusha
 
Possibly you are right for what you are saying. Do you know what are the chances that these patriot missiles do not function normally. And If you think the answer for nuclear warfare is patriotic missile why have the Palestinians apart of their backwardness in technology been able to target Tel Aviv which is defended by Patriotic and Iron dome.
After all Russia has extra knowledge to dodge and confuse these American counter technologies.
 
Kama wewe ungekaribia hicho cheo cha Putin basi ingekuwa hatari.Suala sio wenzako kuwa nazo kama za kwako.Tunazungumzia nyuklia ambazo hata ukiwa nazo mwenzako akizitumia mwanzo basi hizo za kwako hazina maana tena.Mwenye nyuklia kama hizo ama uende naye kwa hekima au umnyamazie kimya sio kumtukana.
Mbona US kamvunjia mpaka mabomba ya Gas mkuu? Amefanya nini?
 
Kumbe unajua hakuna mshindi kwanini huoni shida mwenzako akitumia kabla yako.Itakuwa umepata hasara na yeye amepata hasara.Na unalosema pia halina mashiko. Fikiria hiyo nyuklia ikitua Newyork au washington mwanzo.Nani atakayeinuka kwenda kubonyeza kitufu cha kufyatua nyuklia yake.Hivyo uwezekano wa anayetumia mwanzo kuwa mshindi au atakayetia hasara kubwa upo.Kumbuka wakati Marekani alipondosha nyuklia Hiroshima na Nagasaki.Wajapani wote waliloa hawakujua nani aseme nini.Ikaonekana hakuna haja wala nguvu tena ya kuendelea na vita.
Hakuna unalojua kuhusu silaha za nuclear, zinaweza zikatumwa nuclear hata 500 Russia na bado Russia ikajibu mapigo ya Nuclear, kuanza kurusha Nuclear sio guarantee utawahi kuishinda vita. Submarines zinabeba nuclear, kuna silos kibao, huwezi zipiga zote, kuna trains zinabeba nuclear n.k
 
Wewe nenda ukaswali hakuna unachofahamu kwenye mambo haya kwa sababu hujui kwamba ufyatuaji wa nyuklia kati ya Russia na Marekani ina reciprocal effect ya kwanza ikirushwa nyingine hujibu automatically.
Hajui kitu kabisa huyo
 
Usione marekan anatishia tu....urusi ana nguvu kwl upande wa vita ya anga ....kutumia nyuklia hashindwi japo ni ubinadam tu kwasababu nyuklia ni hatare Sana
Russia hana nguvu ya anga, pale Ukraine Russia ametepeta saana. Sio ndege wala sio radar zilizoleta ubora kwake. Alifanikiwa kwa makombora sababu Ukraine hakuwa na Air Defence Systems nzuri.
 
Possibly you are right for what you are saying. Do you know what are the chances that these patriot missiles do not function normally. And If you think the answer for nuclear warfare is patriotic missile why have the Palestinians apart of their backwardness in technology been able to target Tel Aviv which is defended by Patriotic and Iron dome.
After all Russia has extra knowledge to dodge and confuse these American counter technologies.
You've quoted me out of the context, where did I say that patriot air defence system is a nuclear deterrent, please revisit my comments to understand what I've spoken about but above all you need to understand that there is no winner 🏆 when it comes to nuclear war.
 
Bado akili yako haijazielewa silaha za nyuklia zinavyofanya kazi angalau kwa upeo wa kawaida.Mareknai nzima na vijiji vyake mbele ya silaha za nyuklia ni kama mji au kijiji kimoja.Na maeneo karibu yote ya kuziongoza silaha hizo yako ndani ya ramani ya Urusi.Anajua aanze kurusha wapi kombora la mwanzo na la pili litue wapi.
Kwa kifupi tusimchochee Mrusi kuzitumia silaha hizo ni hasara kwa dunia nzima.Marekana na nchi za NATO ziheshimu makubaliano ya kimataifa yanayolihusu taifa la Urusi.
Tuachie hapo hapo mkuu. Tatizo hatueleweshan tunashabikia na mimi siwez shabikia vita
 
Back
Top Bottom