Hapo ndipo niwashangaapo!!! Wakale walisema vita haina macho - sasa hii dhana ya kusema Urusi inategemea sana nguvu zake za vita kutokana na umiliki wake wa silaha za thermonuclear kwa wingi Duniani, sasa swali: Kwani ni dhambi kumiliki silaha nyingi za maagamizi ya halahiki? Taifa gani Duniani lilo wahi kutumia mabom ya atomic/nuclear bila sababu yoyote ya msingi zaidi ya kujionyesha wao ni zaidi - wakaangamizi karibu nusu million ya innocent Japanese,madhara ya fallout na mionzi bado yanaendelea kutesa vizazi na vizazi, mpaka sasa ni karibu miaka 80 imekwisha pita lakini bado raia wanateseka kwa kuendelea kuzaa watoto mutant na wengine wenye genetic diffects chungu mzima.
Bottom line is:Taifa lolote linalo jitambua lini haki ya kutumia silaha zozote walizo nazo ili kulinda Taifa lao kikamilifu - kwani kuna dhambi gani kujihami - unafikiri Urusi hisingekuwa na formidable thermonuclear missiles and glide vehicles, je, NATO specifically the USA wangefanyaje??