Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden mwenyewe anaongea tu......huku nyuma ya pazia anawacheka.
Vumilia:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Pamoja na hayo yote! Kwa uharibifu wa kutisha uliofanywa na IDF ni hasara kubwa kwa Wapalestina. Madhira waliyopata itawachukua muda kurudi katika hali ya kawaida.
Mkuu vita ni Mbaya sana!
Cha kutia huruma wakati Isreal inafanya unyama huo Jumuia ya Kimataifa ilikuwa inaangalia bila kuchukua hatua zo zote za kuzuia unyama huo!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Cha kutia huruma wakati Isreal inafanya unyama huo Jumuia ya Kimataifa ilikuwa inaangalia bila kuchukua hatua zo zote za kuzuia unyama huo!
Kabla ya kusikitika, Hamas walipoua wa Israel 1200 ulisikitika?
Je jumuia ya kimataifa ilichukua hatua gani kwa mauaji yale?
 
Kabla ya kusikitika, Hamas walipoua wa Israel 1200 ulisikitika?
Je jumuia ya kimataifa ilichukua hatua gani kwa mauaji yale?

Ungependa hatua ipi kama:

IMG_20240410_174116.jpg

Na yote kapuuza?

Hudhani tusingefikia kwenye Oct 7 angekuwa wa kuelewa?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Ungependa hatua ipi kama:

View attachment 2959815

Na yote kapuuza?

Hudhani tusingefikia kwenye Oct 7 angekuwa wa kuelewa?
Nimemuuliza hivyo kwa sababu, toka mwanzo jumuia ya kimataifa haijawahi chukua hatua thabiti kuzibiti machafuko huko Middle East. Why alalamike sass kwamba wako kimya?
 
Nimemuuliza hivyo kwa sababu, toka mwanzo jumuia ya kimataifa haijawahi chukua hatua thabiti kuzibiti machafuko huko Middle East. Why alalamike sass kwamba wako kimya?

Ila ZIngatia hakufungamanisha na tarehe yoyote kwenye hoja yake.

Huyu nadhani anauelewa na concern sahihi na alichofanya hapo ni kile waungwana wanaita: "thinking aloud."

Huyu nadhani tuko pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: 511
But ZIngatia did not link to any date in his argument.

I think this one understands it with the right concern and what he did there is what gentlemen call: "thinking aloud."

This one I think we are together.
🤔🤔🤔
Screenshot_20240410-181337~2.png
 
Back
Top Bottom