Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Kwani hayo mauaji yaliendelea? Harafu Jumuia ya Kimataifa ingefanya nini wakati IDF ilichukua hatua ya kupambana na Hamas?
Kabla ya kusikitika, Hamas walipoua wa Israel 1200 ulisikitika?
Je jumuia ya kimataifa ilichukua hatua gani kwa mauaji yale?
 
Kwani hayo mauaji yaliendelea? Harafu Jumuia ya Kimataifa ingefanya nini wakati IDF ilichukua hatua ya kupambana na Hamas?
Kama hoja ni kuendelea, je Israel wangetumia nuclear bomb wakaiteketeza gaza yote with a single shot ingekuwa sahihi?

Tayari unalojibu kuwa jumuia ya kimataifa isingefanya kitu kwa vile IDF waliamua kufanya offensive. Mbona ulikuwa unasikitika kuwa jumuia ya kimataifa iko kimya?
 
Back
Top Bottom