Biden: Urusi haitashinda Ukraine

Biden: Urusi haitashinda Ukraine

Hapa Niko nimekaa pale nasikilizia mashambuliza ya maneno kutoka kwa niga from west and east
 
Wewe umejuaje masaa 24 yupo kwenye social media kama nawewe hushindi huko?

Unamwambia atafute kazi ya kufanya unajuaje kama kazi yake ndo hapa kwenye social media?

We kima ni mpumbavu na mtu wa hovyo sana.
Unajiona umeongea point kumbe trash tu.

Ungeuliza nimejuaje ningekujibu lkn kwa kuwa ushajitengenezea majibu basi ishi na hayo majibu.

Ngoja niku-qoute mara ya mwisho af ni-press ignore button sababu naona unatafuta tu ligi na mimi.
 
Unajiona umeongea point kumbe trash tu.

Ungeuliza nimejuaje ningekujibu lkn kwa kuwa ushajitengenezea mahibu basi ishi na hayo majibu.

Ngoja niku-qoute mara ya mwisho af ni-press ignore button sababu naona unatafuta tu ligi na mimi.
Nitafute ligi na imbecile kama wewe?

Huwezi mjua mtu anaekesha online 24hrs unless nawewe uwe huko...

Umeulizwa pale juu we mvaa kobazi vipi ungekua wewe ni Ukraine umevamiwa na Urusi ungechukua hatua gani?

Au chukulia mnavyobong'oaga huko halafu mtu wa nyuma akunuse ninihii kimakusudi utamwambia asante?
 
Huu upuuzi na zaidi ulikuwa unaandikwa sana March mwaka jana na Pro-Russia wakati huo uvamizi umechachamaa, inashangaza wewe bado umebaki kwenye hiko chungu.
Em ngoja nikucheke kwanza.

Natrade markets fulltime, SPY(stock index ya makampuni makubwa US) ilianza vzr mwaka huu baada ya kupoteza sana mwaka jana lkn wiki hii ni loss tu zinatembea.

Credit cards balance US zimepaa watu wanatumia credit kupitiliza.

Kampuni zote kubwa za US zinafukuza kuanzia 10% hadi 20% ya wafanyakazi wakiongoza na makampuni makubwa kama Google, Meta(facebook), Stripe, Paypal etc....

US federal reserve chini ya Powell imeongeza Interest rate na inategemewa kuendelea kuongeza so mikopo imekua expensive makampuni hayawezi kurisk kukopa tena so yanapunguza cost of production.

Numbers zinasema US inaenda kudefault kwenye Bonds zake japo officials wanapinga hivo, lkn history na numbers zinaonesha uwezekana mkubwa wa kudefault.

Inafikia hatua hadi wanauchumi wakubwa kama Ray Dalio anakwambja US inakuja kuzidiwa na China in 10 years

Kama huna facts usi-argue na mm khs hio topic nenda MMU.
 
Sijakuuliza unashabikia upande gani wa vita, nimekuuliza kama wewe ni Zelenskyy unaongoza Ukraine na nchi yako imevamiwa ungefanya nini??

Halafu Elon Musk sio kiongozi wala hana ujuzi wowote wa masuala ya vita, huyo ni mfanyabiashara tajiri tu anayependa kuposti memes huko twitter, inashangaza kumtumia yeye kama rejea ya uongozi.
Mie sishabikii upande wowote na nimesema toka kwenye comment yangu ya mwanzo, so hilo swali umeuliza sehemu isio sahihi.

Kinachonishangaza ni viongozi wakubwa na nchi mbalimbali kuendelea kukoleza moto kwenye hii vita kwa kuwasupport kivita pande zote mbili bila kufikiria namna ya kutafuta suluhisho. Waliogundua hilo ni kosa wameanza kujitoa na ndo maana nikatolea mfano wa elon musk kudisable access ya starlink kwa jeshi la ukraine
 
Nitafute ligi na imbecile kama wewe?

Huwezi mjua mtu anaekesha online 24hrs unless nawewe uwe huko...

Umeulizwa pale juu we mvaa kobazi vipi ungekua wewe ni Ukraine umevamiwa na Urusi ungechukua hatua gani?

Au chukulia mnavyobong'oaga huko halafu mtu wa nyuma akunuse ninihii kimakusudi utamwambia asante?
Unaupiga mwingi saaana mkuu
 
Sijakuuliza unashabikia upande gani wa vita, nimekuuliza kama wewe ni Zelenskyy unaongoza Ukraine na nchi yako imevamiwa ungefanya nini??

Halafu Elon Musk sio kiongozi wala hana ujuzi wowote wa masuala ya vita, huyo ni mfanyabiashara tajiri tu anayependa kuposti memes huko twitter, inashangaza kumtumia yeye kama rejea ya uongozi.
Yeye sio zelensky.Na hawezi kuwa zelensky.
 
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia. Kwa nini wasitafute solution wakomalie kukoleza moto?

Mrusi akichoka atatumia nyuklia kumaliza kazi mapema, ni mpuuzi tu anaechukua side kwenye hii vita sababu huwezi chagua between 2 evils. Ikitokea ww3 wa kulaumiwa ni mashabiki na supporters wote wa pande zote Russia na Ukraine.

Mwaka mbovu, USD iko juu, stock markets zinayumba yumba lkn bado wanataka kuendeleza upuuzi wao, worthless bastards kabisa.
Wewe umechoka akili, unafikiri hiyo Russia tu ndio ina hiyo nyuklia halafu kwa akili zako fupi unafikiri hiyo nyuklia inaifahamu Russia hivyo haiwezi ikawadhuru.

Small mind will always remain a small mind.
 
Em ngoja nikucheke kwanza.

Natrade markets fulltime, SPY(stock index ya makampuni makubwa US) ilianza vzr mwaka huu baada ya kupoteza sana mwaka jana lkn wiki hii ni loss tu zinatembea.

Credit cards balance US zimepaa watu wanatumia credit kupitiliza.

Kampuni zote kubwa za US zinafukuza kuanzia 10% hadi 20% ya wafanyakazi wakiongoza na makampuni makubwa kama Google, Meta(facebook), Stripe, Paypal etc....

US federal reserve chini ya Powell imeongeza Interest rate na inategemewa kuendelea kuongeza so mikopo imekua expensive makampuni hayawezi kurisk kukopa tena so yanapunguza cost of production.

Numbers zinasema US inaenda kudefault kwenye Bonds zake japo officials wanapinga hivo, lkn history na numbers zinaonesha uwezekana mkubwa wa kudefault.

Inafikia hatua hadi wanauchumi wakubwa kama Ray Dalio anakwambja US inakuja kuzidiwa na China in 10 years

Kama huna facts usi-argue na mm khs hio topic nenda MMU.
Duh mbongo Katika ubora wako, unaijua USA kuliko Mmarekani anayeishi ndani ya USA.

Kwa uchambuzi wako juu hapo, kana kwamba vita inapigwa ndani ya ardhi ya USA, acha propaganda uchwara kijana.

USA ndo wanaonufaika na hii vita, unaongea kama mtoto mdogo acha mahaba ok
 
Vipi kama ungejua unavamiwa kwa sababu za uonevu tu kama baunsa Scorpion aliyekuwa anatoboa macho watu? Ungefanyaje??
Hii ya Scorpion kumtoboa jamaa macho aliikana inasemekana yupo muhuni aliyefanya hilo tukio na sio Scorpion,na bahati mbaya alishafariki.
 
Nimesema sana kwamba super power wa mchongo nimeingia club Yao moja kubwa wanapiga music za USA why

Video chini 👇🏾
 
Attachments

  • IMG_1117.MOV
    22.4 MB
Back
Top Bottom