Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Ndio sababu unataka hata wakikupiga kofi utulie tu na ulie kwa kupiga magoti?

Akili hizi za kitumwa subirini Lisu akiwa rais mwaka 2900
Jengeni mikakati ya kuinua uchumi na siyo kubwabwaja na kujenga hoja za kulipiza kisasi!
 
Mkuu umenena point aisee, Ujue Dunia imebadilika hivi sasa kila taifa linapigania kwa nguvu zote maslahi yake na wananchi wake na kuna hisia huenda Kenya anatumiwa kuvuruga mahusiano ya ujirani mwema na hili litaleta shida si kwa Tanzania na Kenya pekee bali EA kwa ujumla na tunapoendea kuna za uso nyinginyingi mtu atapigwa, Tanzania ni Eden iliyo hai katika ulimwengu na kamwe haitakuja kuharibiwa na yeyote Mungu awe nasiii
 
Umesema TBS walikuwa wapi na Mimi ndio nikakuulizaa na hao KBS miaka yote walikuwa wapi? Naona umekwepa hili sababu ya ujinga wako.
Turudi kwenye points, hizo claims hazijaja official Kama waziri alivyosema.
Urudi kwenye point na mjinga???? kutukana na mihemuko ndicho unacho unajua...Man up kwanza ndo uje tujadili facts.
 
Ni suala la muda tu , kabla gesi nayo haijawa export product na kuongeza gdp ya nchi !
Serikali ya sasahivi inafanya kazi , zamani 2015 na kurudi nyuma kenya walikuwa wakipata tanzanite za bure ufuatiliaji haukuwa mzuri .
Nchi ni Hii ni tajiri kwa maliasili labda DRC , south africa na Nigeria Ndio watakuwa juu zaidi ya Tanzania
 
Wewe ni mjinga, bidhaa za Kenya ni maziwa, blue band, Sabuni za unga na vipande, kiwi n.k
Hivyo vitu haviwezi kupatikana hapa hapa bila kuagiza?
Uzuri ni suala la muda tu, utaona Sasa hivi wakenya wanataka suluhu
Ndio maana nasema huna unalojua umeishia kutaja hivyo tu umesahau madawa lukuki toka Kenya ilhali Mlitakiwa mtengeneze wenyewe! Na hii ni moja kati ya nyingi na zinabebwa na gari zenu za MSD
 
Hivi ile vita baina ya Mwalimu Nyerere na Charles Njonjo enzi zile za manyang'au nani aliibuka mshindi ?
 
Ahsante Mkuu,
Vyote hivi na vya kupiga BAN mpaka tujue usalama wake kwanza
sasa unapiga ban unaumiza wananchi kwa bidhaa hizo kuwa adimu na hatimaye ghali, hiyo ni akili au matope?!.
 
Mtoa mada direct swali lako kwa TBS/TFDA? ambao wao ndio wanacheck ubora kwa kila kinachingia nchini humu.
 
sasa unapiga ban unaumiza wananchi kwa bidhaa hizo kuwa adimu na hatimaye ghali, hiyo ni akili au matope?!.
Tanzania soko lipo kubwa kwa vile karibu nchi nyingi za landlocked zinapitishia apa au zinanunua, hivyo tukiachana na bidhaa za Kenya itajenga opportunity kwa matajiri kufungua hapa viwanda mbadala vya bidhaa hizo na hivyo kujenga ajira kwa wananchi wa hapa. Kwa mfano hatutaki maziwa blookside then bakhresa ataingia mzigoni na kuweka production ya mzigo huo. Au zile nyaya za umeme toka Kenya Basi kampuni za ndani zitaongeza wigo kwa kupanua biashara zao kwe mzigo huo. Cc Wyatt Mathewson
 
Tunaangalia soko la mbali na la kudumu ata Kama itakaa miaka 50. Tunataka tuachane na utawala wa wakenya kwenye bidhaa muhimu maana kwa namna wanavyotumiwa na mabeberu ipo siku watafanya makubwa zaidi mabaya.
 
Mkuu jaribu Basi hata kutumia akili kwa mbaaaaali, yaan unamuacha mumeo kisa jiran kakuambia Ni Malaya na wewe Bila kupima unafanya ivo Ni akili kweli au matope. Kwa kutumia vyombo vyetu tunajua kabisa mahindi ni mazima anakuja jiran anasema Yana sumu alafu na wewe unaunga mkono yana sumu Kwan akili umezihamishia wapi au Mlimani city kwenye sherehe yenu.
 
jk alishasema akamaliza..watu wa namna yako ni wapumbavu na wajinga ambao tz wapo wachache sana..watakaodhani mahusiano na biashara na kenya haina maana..
 
Kuongea kiingereza hakuoneshi kwamba unajua sana nmekupa mifano rahisi tu, kama hata nayo huielewi basi mimi sio kosa langu
 
Mahindi yetu yanauzwa nchi zinginr lkn hawajalamika kitoto kama Ke......punguzeni upunguani
Mahindi yenu yanauzwa hata kwa wale 'mabeberu'? Sikujua bana! Mkishikwa kidogo mnaruka futi kumi mbele, kaa pisi bikra, vipi nyie tulieni mle vitamu, pumbaf!!! 🤣🤣🤣
✌️
 
Hata utalii pia, duh wacha nicheke kwanza! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…