Mbona kama umekuwa msemaji wao hapa?Si uwaulize,si unawajua?
Unaniuliza mimi,Mkenya?
Kwahiyo usilalamike na sisi tunataka kuchukua hatua kama zao sawa?Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Unajua majukumu ya TBS??Ahsante Mkuu,
Vyote hivi na vya kupiga BAN mpaka tujue usalama wake kwanza
Umekurupuka usingizini tuu na hasira za Ban ya mahindi.... Unataka kuwafundisha kazi TBS siyo??Hapana Mkuu, sio uswahili.
Ni katika kuhakikisha tu sisi final consumer tunatumia bidhaa salama kabisa kwa afya yetu.
Mchina huyu huyu wa makalio bandia??Hatutakosa kwengine pa kuagiza, hata China poa tu
best product everBlueband.
Watanzania wanao tetea maamuzi ya Kenya ni wapumbavuMkuu sio kila bidhaa inakuja na ndege,
Kwanza Usafiri wa ndege ingawa ni wa haraka lakini ni gharama mno. Mizigo mingi mikubwa mikubwa ya kibiashara kutoka China huingia nchini kupitia usafiri wa majini.
Hawa mpaka waombe Poo.
Mkipiga ban blue band mtatumia Nini? Kwa [emoji506]Ahsante Mkuu,
Vyote hivi na vya kupiga BAN mpaka tujue usalama wake kwanza
Kwani KBS wao walisafiri kuhusu Mahindi ya Tanzania!Itakuwa ni upuuzi. Maana Tbs tutawauliza walikuwa wapi kubaini hizi defects?
Kwani hujamsikiliza naibu kilimo!Sisi ni Nchi ya uchumi wa kati, tungeomba ripoti ya uchunguzi wa kisayansi ambayo wakenya wameifanya, na ushahidi wa sample (specimen) walizotumia kama kweli zimetoka TZ. Donor country huendesha mambo yake kisayansi.
Kuwa na adabu mkuu!Mshirikina soon atalihutubia taifa kwamba watu ili kuosha meno watu wajifukize.
Wewe ni mjinga sanaKiongozi anayeaminni shiriki huungwa mkono na washirikina