Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Pengine wewe hii number unaijua, embu tufahamishe. Wanarushia wengine mawe wakati wanaishi kwenye Nyumba ya Vioo? wasubiri tu tuwajibu
 
Sio lazima ambae hajaleta Uswahili kaleta Uzungu

Dunia hii kuna makabila mengi,Uzungu na Uswahili ni baadhi yao tu

Your binary thinking is so shitty
So wao wameleta nini basi?
 
So unajua hawajaleta Uswahili ila hujui wameleta nini? Aisee JF raha sana
 
Swali la kijinga toka kwa mjinga wa CCM ya wajinga, wewe mwenyewe unasema kuna bidhaa nyingi toka Kenya ikiwa ni pamoja na za vyakula zinatumika Tanzania, kama hazijaleta madhara miaka yote hii, leo wasiwasi unatoka wapi? Wizara ya Kilimo ina Kitengo, Phytopathology, cha kuthibiti bidhaa zote zitokanazo na mimea, hasa ambazo hazijasindikwa, kutoka au kuingia nchini kuhakikisha ni salama kwa Binadamu, mifugo na mimea mingine. Yale mahindi pale mpakani yalitakiwa kuwa na Hati (Certificate), inayotolewa na Kitengo hicho, ya uthibitisho kuwa yako salama kwa matumizi huko yaendako ambako nako wanawajibika kuhakiki. Awamu hii kila kitu bora liende!
 
Kuna viwanda hapa vya wakenya
Hivyo Viwanda vitakua vinaongozwa na Wakenya. Sasa hili ni kosa KUBWA sana, why MD awe Mkenya wakati tuna Watanzania wenye uwezo wa kua MD hapo?? Hivyo ni vya kuchunguzwa kwa Muktadha huu. Kama ilivyokua yule CEO walietaka kuja kuiongoza Vodacom
 
We jamaa inaelekea una hulka ya ubishi sana, unapenda kubisha then ukiambiwa ulete data zako hutaki (huna), unafurahisha lakini pia.
 
Mjinga ni wewe, mama yako na vizazi vyako vyote. Nani kakuambia mimi ni CCM? Si bure umri wako wa hapa JF unakufanya unihusishe na hicho chama. Jibu hoja kwa hoja, kama unaelewa kuna issue Mahindi yanayoenda Kenya usingejihangaisha kujua kama bidhaa za Kenya zina madhara ama lah kama uzi wangu unavyosema.

Ungetumia akili kidogo tu ungejua kua uzi wangu ni alert tu kwamba hata na sisi tuna bidhaa zao pia, tunaweza kutafuta grounds zozote ziwe valid au invalid grounds tukazi-BAN hizo bidhaa.
 
Back
Top Bottom