Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Kwani hujawahi sikia kuwa watu walikufa wilayani Chemba - Dodoma kwa sababu ya sumu kuvu?
Simanjiro na Kiteto walishawahi kuathirika. Walichofanya Kenya kwa kweli walikurupuka,mbwembwe nyingi. Wangetumia utaratibu wa kuarifu mamlaka husika kwa upande wa Tanzania,then maabara za nchi zitumike kuthibitisha.
Extension officers vijijini watumike kuwashauri wananchi namna bora ya kuhifadhi mazao ya chakula. Mazao hasa mahindi yananunuliwa na kuhifadhiwa yakiwa na unyevunyevu mwingi,lazima yatatengeneza fungi.
 
Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Hata Tanzania akiamu kuchukua hatua kinzani itakua hajakiuka jambo lolote ni swala la uamuzi tu na ni haki yake kufanya hivyo.
 
Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.
 
Tuwapige bidhaa zao ban pia
Kuja kwetu

Ova
 
Kuchunguza Bidhaa za Kenya kwa hali ya sasa hakuepukiki. Wataomba tu suluhu kama walivyoomba kwenye suala la Ndege zetu kutua kwao.
Vita ya kiuchumi hii
Lazima tupiganie nchi yetu kwanza
Mambo mengine badaye

Ova
 
Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?

Ni sawa kabisa, kama kuna ukweli wa hoja na siyo kukomoana!
 
Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.
Kwani mlipovitia kiberiti vifaranga kutoka Kenya ilikuwa ni nini?
 
Punguza kukariri..kila bidhaa inasafirishwa jwa ndege?,na una uhakika kila ndege inaunganisna Nai kuja Dar?
 
Dawa ni kutafuta masoko mapya ya bidhaa zetu. Tusitegemee soko moja!
 
Hapana Mkuu, sio uswahili.
Ni katika kuhakikisha tu sisi final consumer tunatumia bidhaa salama kabisa kwa afya yetu.

Hata kama bidhaa zao hazina usalama ila hizo ni bora kuliko zetu, na tutaendelea kuzitumia maana tunanunua kwa hela zetu.
 
Muda si mrefu majibu yatapatikana. Muda huu wazee wa fitna nao wamejifungia huku wakitafakari namna ya kujibu mashambulizi.

Just wait and see! Katika hizi fitna,hakika serikali ya magufuli haijawahi kushindwa. Wako vizuri kweli.
Tatizo fitna zinawaumiza wananchi
 
Huu ujinga wakuwanyenyekea Wakenya haupo!

Yani tukaongea nao kitu gani sasa?

Hiyo mizigo unayosema inapita kenya ni ipi?
 
Tulipiga ban routes za KA baada ya kuleta 'fyoko' ya korona, ni nani aliomba poo? Inawezekana Tanzania ikawa na baadhi ya makosa lakini kwenye East Afrika kenya wamekua ni tatizo kweli.. rejea historia ya kuvunjika iliyokuwa East Africa Community 197s

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom