Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Bidhaa hizi tumezitumia tangu enzi za uhujumu uchumi na hazijawahi kuleta madhara. Tusichafue hali ya hewa kibiashara kwa ajili ya kubeba kiroba cha zege kilicho jaa hisia hasi. TBS wapo, TFDA wapo. Nina hakika wanafanya kazi nzuri kwa maslahi na usalama ya wa Tanzania wote.
 
But

Bro,
This issue is beyond TBS na TFDA, kindly leave them aside. Iwe tumedhurika au hatujadhurika but tunahitajika kufanya kitu hapa.
 
Basi mwaka 2017 familia kadhaa zilipoteza wapendwa wao kwa kula karanga na mahindi yaliyoathiriwa na sumu kuvu
Walikula mahindi au karanga zilizooza ,zenye ukungu sio sawa na mahindi haya ya Leo ingekuwa Hivyo wote tungeshskufa Kama huko Dodoma
 
Wakuu Kwema,

Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc.

Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa Binadamu? Dawa za Meno hata tukiosha kinywa baada ya kutumia dawa hizi bado kuna mabaki tu yatabaki mdomoni. Na pia mafuta ya kupaka tunayotumia vipi usalama wa ngozi wetu? Mafuta yametumia Kemikali gani kutengenezwa?

Kuna Biscuits, Pipi, Juice, Maziwa na vitu vingine vingi tu tunatumia kutoka kwa hawa Jirani zetu, usalama wake ukoje? KIWI nayo ikigusa ngozi zetu haina madhara?

Nadhani umefikia wakati sasa Serikali kuzuia "importation" ya hizi bidhaa mpaka kwanza ichunguze usalama wake. Uchunguzi ufanyike polepole tu hata kwa miaka mitano au zaidi haina haja ya kuharakisha ili matokeo tutakayoyapata based on uchunguzi huo yawe ni matokeo sahihi.
Kutokana na sakata la mahindi yaliyokwama mipakani utawasikia TBS na TFDA watajitokeza kujifanya wanachapa kazi
 
Kwani kama bidhaa za kenya hazina ubora wakulaumiwa ni nani kama sio serekali? Nani anatakiwa kudhibiti ubira wa bidhaa kabla haijaingia? Kwanini umechagua kenya na isiwe iganda au rwanda au nchi nyingine yeyote tunayotumia bidhaa zao? Nani ameizuia tanzania kutengeneza bidhaa zake?
 
Nimeichagua Kenya sababu ndio waliomwaga Ugali. Hapa naangalia namna ya Sisi kumwaga mboga.
 
Muda si mrefu majibu yatapatikana. Muda huu wazee wa fitna nao wamejifungia huku wakitafakari namna ya kujibu mashambulizi.

Just wait and see! Katika hizi fitna,hakika serikali ya magufuli haijawahi kushindwa. Wako vizuri kweli.
Kama ambavyo haikushindwa kwenye suala la sukari, korosho na mafuta ya kula.
 
Endeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara

Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu,angalia kwa makini sana

Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA,sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege,itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar,sikilizia bei hapo sasa!

Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee
Kwani tatizo ni nini ikiwa hivyo, lazima uingie gharama ili heshima iwepo.
 
Kenyan hii mbungi hawaiwezi najua wazee wetu wa fitna watarudisha mashambulizi ya uhakika kwenye lango la Kenya, kipimo kilekile walichotumia sisi tutakijaza tutakishindilia tutakisokota na kukisuka suka.
Tena tutafunga kipimo cha RUMBESA
 
Kuchunguza Bidhaa za Kenya kwa hali ya sasa hakuepukiki. Wataomba tu suluhu kama walivyoomba kwenye suala la Ndege zetu kutua kwao.
kENYA NI MWEPESI KAMA KARATASI MBELE YA TANZANIA.UTAJIRI WAKE ULICHANGIWA NA SOKO LA TANZANIA, SASA ANAPUMULIA MASHINE, KIUCHUMI AMEPIGWA NA KITU CHENYE NCHA KALI. ANAJUA FIKA TANZANIA SOON ITAINGIA UCHUMI WA KATI MKUBWA
 
Mkuu

Eti importation ina uhusiano gani na uchumi

Hata ku-deal tu na wewe ni waste of time

Hata hujui uchumi wa TZ ni 100% import economy?

Huna hiyo habari?

Hatu-export chochote cha maana compared na imports,tuna import kila kitu hakuna kitu tuna export duniani huko

Stop this stupidity

unaongozwa na mihemko,huwezi jadili mada za maana wewe.

uchumi wa 100% import unaujua au umeandika tu!!!!
 
Mkuu

Eti importation ina uhusiano gani na uchumi

Hata ku-deal tu na wewe ni waste of time

Hata hujui uchumi wa TZ ni 100% import economy?

Huna hiyo habari?

Hatu-export chochote cha maana compared na imports,tuna import kila kitu hakuna kitu tuna export duniani huko

Stop this stupidity
Wewe unajiona fala tu mbele ya Mkenya
 
Wakuu Kwema,

Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc.

Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa Binadamu? Dawa za Meno hata tukiosha kinywa baada ya kutumia dawa hizi bado kuna mabaki tu yatabaki mdomoni. Na pia mafuta ya kupaka tunayotumia vipi usalama wa ngozi wetu? Mafuta yametumia Kemikali gani kutengenezwa?

Kuna Biscuits, Pipi, Juice, Maziwa na vitu vingine vingi tu tunatumia kutoka kwa hawa Jirani zetu, usalama wake ukoje? KIWI nayo ikigusa ngozi zetu haina madhara?

Nadhani umefikia wakati sasa Serikali kuzuia "importation" ya hizi bidhaa mpaka kwanza ichunguze usalama wake. Uchunguzi ufanyike polepole tu hata kwa miaka mitano au zaidi haina haja ya kuharakisha ili matokeo tutakayoyapata based on uchunguzi huo yawe ni matokeo sahihi.
Naona TMDA wangeanza na maziwa ya blookside juzi nimekunywa nimeharisha sana.
 
Tabia za kiswahili mnazileta kwenye uendeshaji wa shughuli za serikali
[jino kwa jino] lakini sisi watanzania hatupo kama wao tukigundua kasoro tutaitana na kurekebishana HATUTATOA BAN LETTER YA SUDDENLY KAMA WAO TUTANEGOTIATE KWANZA NA NDIO UUNGWANA NA UZALENDO
 
Kiongozi anayeaminni shiriki huungwa mkono na washirikina
Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa kiakili kumbuka sisiwaafrika tuna tiba zetu za asili na zilituwezesha kuishi tukijitibu miaka na miaka acha uumini wa haya madude meupe
 
Endeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara

Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu,angalia kwa makini sana

Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA,sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege,itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar,sikilizia bei hapo sasa!

Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee
Nani kasema..?.
 
Kwani nchi nyingine hawana maabara? Kenya ni malimbukeni tu kama malimbukeni wengine
Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.
 
Back
Top Bottom