Simchezo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 463
- 374
Tukipiga ban bidhaa za Kenya ambazo ndio zimetawala kwenye soko la TZ, serikali itasababisha mfumuko wa Bei mkubwa kwa sababu flow ya bidhaa itapungua.
Ukiondoa South Africa hakuna nchi ambayo ni industrialized kama Kenya East & Central Africa. Kuagiza bidhaa kutoka SA sio suluhisho kutikana na umbali Bei zitapanda tu.