Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1660550409313.png

Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020.

Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha bidhaa hizo zinapatikana bila malipo kwa yeyote anayezihitaji.

Shule, na Vyuo Vikuu pia vitalazimika kutengeneza bidhaa zinazohusu usafi wa wanawake kwenye siku zao na zipatikane bila malipo.

Scotland inakuwa nchi ya kwanza duniani kuweka sheria inayofanya upatikanaji wa Taulo za Kike kuwa Haki ya Msingi na ya lazima kwa wanawake.
===

Scotland will on Monday become the first country in the world to ensure universal access to
free period products following the passing of landmark legislation in 2020.

Councils and education providers will be legally required to make period products available
free of charge to anyone who needs them, the Scottish government said in a statement issued
Sunday.

"Providing access to free period products is fundamental to equality and dignity, and removes
the financial barriers to accessing them," said Social Justice Secretary Shona Robison.

"We are proud to be the first national government in the world to take such action," she added. The Scottish parliament voted unanimously in favour of the Period Products Bill, which made it
a legal right to have free access to sanitary products in public buildings, in November 2020.
Sanitary products were already free for pupils and students, but the bill placed a legal duty on
ministers to ensure anyone can get access to them.

Schools, colleges and universities must also make a range of period products available for
free in their toilets.

Scotland's First Minister Nicola Sturgeon welcomed the decision at the time. "Proud to vote for this groundbreaking legislation, making Scotland the first country in the world to provide free period products for all who need them," she wrote on her Twitter account.

"An important policy for women and girls."

Souce: New Vision
 
Kuna kiongozi hapo ana ugomvi na viwanda vya taulo,
Hii ni biashara kazima iheshimiwe
 
Ila kusema kweli zinatakiwa zigawiwe bure duniani kote maana mwanamke kwenda edhi ni kama kupumua au kwenda haja. Na ukiangalia kodi watu wanalipa kila mwanaume akiongezewa 200 tuu kwenye kodi yake au kwenye VAT pale ikatolewa 0.1% inatosha kufanya kila mwanamke apewe taulo
 
Back
Top Bottom