Inaandikwaje mkuu ALIZETI au ARIZETI?Arizeti [emoji28]
Wafanyabiashara wakubwa makusudi wanaficha bidhaa ili iadimike sokoni.Biashara huendeshwa na demand na supply.
Kitu kikiwa adimu bei automatical inapanda.
Kama unaona wanafaidi tumia fursa lima alizeti.
Swala sio demand and supply swala ni mafuta.Biashara huendeshwa na demand na supply.
Kitu kikiwa adimu bei automatical inapanda.
Kama unaona wanafaidi tumia fursa lima alizeti.
Hayo mafuta anatumia mwenyewe mwanamke? Wewe hutumii? Iweje uite zawadi kitu ambacho na wewe unakitumiaKwa sasa mpe mwanamke wako zawadi ya kidumu cha mafuta tu
Atakupa mpaka figo.
HahahaaKwa sasa mpe mwanamke wako zawadi ya kidumu cha mafuta tu
Atakupa mpaka figo.
Kuhusu mafuta tumeshapata mbadalaSwala sio demand and supply swala ni mafuta.
Mafuta yakipanda bei hakuna bidhaa itakayosalimika kupanda bei
Wengine soda ni tiba ya sukariHivi kwanini tusigome kununua baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu sana kwenye maisha yetu? Tukigoma kunywa soda kwani itakuaje?
Sio lazima soda, vinywaji vipo vingiWengine soda ni tiba ya sukari
Wengine wanakaa mbali na wanawake zao nao wasemeje?Hayo mafuta anatumia mwenyewe mwanamke? Wewe hutumii? Iweje uite zawadi kitu ambacho na wewe unakitumia
Unawaza povu kwani tunagombana dada? Mipasho ya kazi gani sasa? Some people banaWengine wanakaa mbali na wanawake zao nao wasemeje?
Povu kali hauna mafuta nini?
Wengine kamba zetu fupiNyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!
Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee no kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Huku mtaji wa maskini nao ukibakia kuwa ni nguvu zake.
Hawa wanaogopa kupandishaMama ntilie pekee ndio hajapandisha bei za msosi
Dada? Chukua kidumu cha mafuta wewe mwambie mumeo sio unaomba zawadi za hovyo hovyoUnawaza povu kwani tunagombana dada? Mipasho ya kazi gani sasa? Some people bana