uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Kubwa hivyo,uku kwetu ulazi tsh 50Huku kwetu togwa sh. 100/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa hivyo,uku kwetu ulazi tsh 50Huku kwetu togwa sh. 100/=
Soda zote 600 saiviBei ya sasa ya soda kampuni ya coca cola ni tsh 11800 wote tunajuwa soda crate moja inachupa 24 kwa kuuza sh500@1 maana yake ni kwamba ni tsh 12000/= kwa kuangalia bei hiyo hapo hamna faida yoyote maana chukulia gharama ya usafiri ziweke pia kwenye fridge umeme n.k. kwa kweli hali ya maisha kwa sasa inazidi kuwa ngumu na serikali imeshatangaza vitu vinapanda bei hali halisi ndoo hiyo ndugu zangu pokeeni bei mpya kabisa kutoka kampuni hyo.View attachment 2192631
MAYANGA CONSTRUCTION CO. Inaendeleaje?Subiri kwanza tunapambana na Jpm maana mambo hayo viongozi hayawahusu.....sukuma gang wajinga sana kwa nn waliwaungia umeme kwa 27000 na kwa nn soda ilikua 500 walijenga miundo mbinu kibao na bado leo wanasemwa ni wezi wazandiki ....na bado shule mnasoma bure bado huko nako mtaguswa tu maana watakuja na ngonjera za kua kusomesha mtoto bure ni mjinga pekee anaweza fanya km walivo fanya kwenye umeme...ndo no tutaanza kusisoma taaaratibu
Hii vita ya Urusi na Ukrane ita leta mambo mengi sana.Soda Tsh 600 badala ya 500
Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500
Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=
Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=
Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.
Ahsante!
Hapa ume nena,Soda Tsh 600 badala ya 500
Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500
Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=
Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=
Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.
Ahsante!
Tatizo Mangi huwa hamjulikani mnasimamia wapi.... kipindi cha JPm mliponda sera zake za 'kuwatetea' wanyonge mkasema ujamaa hauna nafasi. Sasa hivi tena mnalalamika.Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!
Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
Ipo mkuuu inapiga kaziMAYANGA CONSTRUCTION CO. Inaendeleaje?
Mimi Magufuli nilimlalamikia sehemu chache tu! Kwenye uonevu na kwenye double standard. Na katika hili sitokuja kumsahau kamwe.Tatizo Mangi huwa hamjulikani mnasimamia wapi.... kipindi cha JPm mliponda sera zake za 'kuwatetea' wanyonge mkasema ujamaa hauna nafasi. Sasa hivi tena mnalalamika.
Mrejesho?Wakuu,
Nipo hapa kwenye duka la vinywaji napata soda yangu pendwa ya Pepsi... shemeji/wifi yenu anapata Fanta.
Mkononi na buku... nikiwa naendelea kupata kinywaji, anakuja mteja mwingine hapa anaulizia anaambiwa 600..hii imekaaje?
Kama kuna mwanaJF yyte maeneo ya hapa Tandika mkabala na Tigo shop aje aokoe jahazi sina 200.
Natanguliza shukurani zangu.