Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hiyo documentary imekuwa fact checked na kukutwa ina matatizo mengi sana .kuna documentary iko Netflix ( itakuwa na credibility na ubora wa kiwango fulani mpaka ikawekwa netflix) inaitwa WHAT THE HEALTH
inasema sukari haisababishi kisukari, kwa sababu kisukari ni mwili kushindwa kuchakata sukari... ni tatizo unalo tayari, inherent problem ya mwili wako.... Kisukari kinaletwa na vinasaba vyako pamoja na vyakula vibovu kama mafuta, nyama nyekundu, nyeupe, mayai, maziwa...
kuhusu sukari na unene (obesity), documentary inasema sukari ya ziada mwilini inaenda kutengeneza glycogen...glycogen haina shida.... tatizo la unene linaletwa na mafuta, na hili ndio wamelisisitiza sana....
kuhusu magonjwa ya moyo, hakuna utafiti Union link magonjwa ya moyo na vyakula venye sukari
Wanaoongea kwenye documentary hiyo ni ma professa na watafiti wa afya, chemia ya uhai, madawa, the whole nine yard...
Si kila kilicho Netflix kina credibility.
Soma hapa.
What To Know About Pro-Vegan Netflix Film 'What the Health'
It's being criticized for pushing a vegan diet with poor nutrition science