Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Kwa kweli Bara maisha ni rahisi sana, Munalalamika Soda kuuzwa 600? Zenj soda ni Buku kitambo sana
 
Kwa kweli Bara maisha ni rahisi sana, Munalalamika Soda kuuzwa 600? Zenj soda ni Buku kitambo sana
Watu Wa zenji mnajikuuuta madon et bara tunalalamika soda mia sita hatujalalamika ila kupanda kwa bei kunaashiria hali mbaya kiuchumi inaweza kutokea hio ni athari
 
Habari:

Kwa upande wa kanda ya ziwa sasa bei elekezi ya soda kampuni ya Coca itauzwa kwa 11,800 kwa kreti kutoka 9,800 ya zamani....

Tuendelee kula mtori nyama ziko chini.

Pasaka njema.
 
Wayapandishe hayo maji yaliyowekewa rangi kwanza zimenialibia meno ya vijana wangu
 
baadala ya soda kunyweni bia, 9800 hapo bia kadhaa za baridi mnawekeana kwenye glass then cheers...
 
Hizo soda wapandishe tu sisi tutakunywa tu uji[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na vile mahindi bei iko normal [emoji4][emoji4] hata hainistui
 
Kumbe Rungwe-Mbeya raha sana.
Maziwa fresh, Lita moja buku?!!! Aisee ndiyo maana Wanyakyusa wote ni mabonge-mabonge!!
 
Back
Top Bottom