Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!

Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
Na hiki ndicho mlichokuwa mnataka
Sasa mnaenda kuwapa shida wananchi namna hii kwa maslahi yenu.
 
Soda Tsh 600 badala ya 500

Maji ya hill/uhai 600 badala ya 500

Mafuta arizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=

Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=

Arizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine?
Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.
Ahsante!
Unalia soda sh. 600?
Wenzako huku 1000. Iwe ya chupa ya kigae iwe take away, bei ni hiyo.
 
Hivi kwanini tusigome kununua baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu sana kwenye maisha yetu? Tukigoma kunywa soda kwani itakuaje?
Hilo ndiyo suluhisho badala ya kulialia

Ova
 
Huku kwetu alizeti lita 5 ni 30,000 hiyo 39 ni too much jamani [emoji24][emoji24][emoji24] vitu vinapanda bei ila mshahara upo pale pale
 
Na hiki ndicho mlichokuwa mnataka
Sasa mnaenda kuwapa shida wananchi namna hii kwa maslahi yenu.
Ukisikia Survival of the fittest, ndiyo hii sasa! The strong (matajiri, wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima wakubwa/wa kati) will survive, while the weak (wanyonge) will suffer/be perished.

Na hii ndiyo maana sahihi ya ule msemo wa "mama anaupiga mwingi"
 
Chief ameshasema muache kulialia mno bei lazima zipande.
 
Back
Top Bottom