- Thread starter
- #41
Kiburi kimeanzaChief ameshasema muache kulialia mno bei lazima zipande .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiburi kimeanzaChief ameshasema muache kulialia mno bei lazima zipande .
Vipi yule anauza sodaSio lazima soda, vinywaji vipo vingi
Sasa mkewe anapombebea mimba mumewe si zawadi tosha hiyo ya upendo?Cheka,
Inakuwaje uite zawadi??
Na nyie ndo mnasemaga mimba ni zawadi.
Sikubaliani eti mimba ni zawadiMimba ni zawadi ndio
Aache kuuza soda atafute kinywaji kingine. Tutafute means ya kuwakomoa hawa kukuVipi yule anauza soda
Bora umesema wewe aseeh.Mimba ni zawadi ndio
Anauza kwa jumla amechukua mkopo bankAache kuuza soda atafute kinywaji kingine. Tutafute means ya kuwakomoa hawa kuku
Soda tiba ya sukari huyu jamaa vipiSio lazima soda, vinywaji vipo vingi
Ok. Anaweza uza kinywaji kingineAnauza kwa jumla amechukuwa mkopo bank
Ana mkataba unamfungaOk. Anaweza uza kinywaji kingine
Wanaokunywa soda kwaajili ya tiba wachache, hao waendeleeSoda tiba ya sukari huyu jamaa vipi
Kuwa lazima auze soda?Ana mkataba unamfunga
Kukimbia shule, bidhaa huathiriwa na uzalishaji, uhitaji na usambazaji
Ila amepunguza idadi ya punje za wali kwenye chakulaMama ntilie pekee ndio hajapandisha bei za msosi
Kwa frame work time so ana stock, na ana huo mkataba, amewekeza 100mKuwa lazima auze soda?