Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Mama anayumba mnooo!!sijui ana shida gani? Anaboa jamani
 
Yanii dakika sifuri ishaisha!
Ugumu tu wa maisha ila kawaida wanawake ninyi mnatakiwa mkae ndani tuwaletee kila kitu kazi yenu iwe kuandaa tu chakula cha baba na kuoga vizuri tayari kwa chakula kingine. Siku hizi hamfiki kileleni sababu mna majukumu mengi ambayo sio yenu
 
Ugumu tu wa maisha ila kawaida wanawake ninyi mnatakiwa mkae ndani tuwaletee kila kitu kazi yenu iwe kuandaa tu chakula cha baba na kuoga vizuri tayari kwa chakula kingine. Siku hizi hamfiki kileleni sababu mna majukumu mengi ambayo sio yenu
Hapana nilimaanisha Katika kuibalance balance ibaki nifanyie mambo yangu saivi ni balaa tupu! Kuna wanaume wengine masuala ya nyumbani na vyakula kiujumla huwa mnatupa hela wanawake tukanunue wenyewe hapo sasa unajikuta haitakuja hata cent!
 
Sasa watani wangu wapare wabahili kununua mafuta ya kupikia kande watapata support

Nimeshaanza kuwasikia baadhi ya watu ambao pesa hawana za kununua mafuta ya kupikia kutokana na bei kupanda wakisema mimi familia yetu tumeacha kabisa kutumia mafuta ya kupikia kuepuka ma kolestro na shida zingine zitokanazo na mafuta sasa hivi tunakula chukuchuku chakula natural bila mafuta naona hata mwili wangu uko vizuri sio mzito kama zamani nikila mivyakula yenye mafuta!!! Naona hata vitoto vilikuwa vimenenepeana sasa hivi vime tream viko vizuri!!!
 
Nchi irudi kwa wanaume. Maana tumevamia fani isiyo yetu na kupalipua jikoni vibaya mno
 
Acha sababu za kizamani. Wakificha na bidhaa zipo kibao mtaani itawasaidia nini? Hakuna wese.
 
Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!

Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
Mkuu kwa ambao wameajiriwa serikalini sawa, Ila kwa Hawa graduates ambao hawana hata ramani hiyo kamba wanaipatia wapi?
 
Back
Top Bottom