Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Sinywagi soda kabisa zinamadhara

Nakula chuku chuku.[emoji41][emoji41]
 
Kuna ujinga mwingine unachekesha sana, sasa unafikiri kwanini hakuna wese?
Anasahau issue ya sukari. Watu wanaenda kiwandani wanachukua tani elfu 20 mtu mmoja anaficha kwenye godown hata miezi 6 kusubiri bei ipande. Bei ikipanda anàanza kutoa mzigo taratibu.
 
Hivi kwanini tusigome kununua baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu sana kwenye maisha yetu? Tukigoma kunywa soda kwani itakuaje?
Safi tu kwa afya ya miili yetu na meno kiujumla.
 
Msipate tabu nina nazi takribani mia 5 aliyetayari tufanye biashara.
 
Aa wapi! Hao bado wana bei za kizalendo hasa hiyo njia ya Lufungira kutokea Big bon hapo nyuma kwa Kakobe elfu 5 unasuuza mpini
Ndio hiyo barabara inapita pale Meeda Investment?
 
Tanzania kila kitu kimepanda kama ulikua hujui, na kwa wale ambao wanajenga ndio kabisaaaaaaa, wanapitia kwenye moto mkali sana ila any way tuendelee kuupiga mwingi tu hakuna namna.
 
Hivi kwanini tusigome kununua baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu sana kwenye maisha yetu? Tukigoma kunywa soda kwani itakuaje?
Tabia za wanawake bwana, mnawaza kususa tu.....
Ndio maana hili linchi linaenda shimoni sababu ya kuongozwa na
 
Back
Top Bottom