Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Soda Tsh 600 badala ya 500

Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500

Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=

Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=

Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.

Ahsante!
Shiii! USIPIGE KELELE KIKAO CHA CCM KINAENDELEA, KAMA KUNATATIZO MUONE MWENYEKITI WA MTAA MJADILIANE.
 
Msiwe wabishi, mmeambiwa sababu ni vita ya huko kwa warusi.
Muwe mnaelewa!
 
Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!

Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala cake za Taifa, afu hamjari wala nn.
Uwiiiiiih
 
Huku kwetu alizeti lita 5 ni 30,000 hiyo 39 ni too much jamani [emoji24][emoji24][emoji24] vitu vinapanda bei ila mshahara upo pale pale
Wapi huko? Hapa nilipo lita 5 ni 37. Khaaaah
 
Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!

Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
Sasa akina magufuli unaita waongo,wakati huo huo unasema mabepari wamerudi na kurudisha ada kunafuata.mkuu ni bei ya mafuta ya kupikia imekuchanganya au😄😄😄
 
Hapana nilimaanisha Katika kuibalance balance ibaki nifanyie mambo yangu saivi ni balaa tupu! Kuna wanaume wengine masuala ya nyumbani na vyakula kiujumla huwa mnatupa hela wanawake tukanunue wenyewe hapo sasa unajikuta haitakuja hata cent!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom