Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Tutafika Tukiwa Hoi mbaya
Mimi nadhani karibu tunaongea lugha moja.

Na mitusi yanazidi tu kupungua Jf, nidhamu inarejea.

Kungekuwa na mpinzani "kichwa" kama dr. Slaa wa 2010, nchi angechukua kiulaini sana safari hii pamoja na mbwembwe zao zote za wizi wa kura na ghushi za matokeo.
 
usikariri habari za wakina Nyerere za wafanyabiashara kuficha bidhaa. Huo ni uzembe.
Na wewe usikariri madesa ya darasani ya supply and demand.
Narudia tena mafuta yapo kwenye magodown ya vigogo. Tungekuwa na uongozi imara kama Moringe Sokoine watu wangeyamwaga barabarani
 
Unamuhonga mke, anakupikia na wewe unakula, si useme umejinunulia.
Kama unapeleka kwa mchepuko sawa ni zawadi
Hivi mke anaweza kukupa penzi "jadidifu" kwa kuleta kidumu cha mafuta nyumbani wakati ni majukumu yako?

Hapa watu wanaongelea michepuko, yaani kuhonga.
 
Mama ntilie pekee ndio hajapandisha bei za msosi
Katika makundi ya wanaokula kwa jasho na mahangaiko makubwa sana hapa Tanzania,ni hawa mama/baba lishe.
Bidhaa zitapanda bei hata miaka mitatu,a wao bei yao ya vyakula ipo palepale.
Hawa inatakiwa tafiti ifanyike ili tujue siri ya kutopandisha bei, huenda tukajifunza jambo ambalo laweza tumika kwa maendeleo ya wengi zaidi.
 
Biashara huendeshwa na demand na supply.

Kitu kikiwa adimu bei automatical inapanda.

Kama unaona wanafaidi tumia fursa lima alizeti.
Washushe bei ya petrol na diesel uone hizo mambo ya demand and supplies
Applications yake
 
Back
Top Bottom