Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Soda Tsh 600 badala ya 500

Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500

Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=

Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=

Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.

Ahsante!
ina athiriwa na transport cost
 
Sasa akina magufuli unaita waongo,wakati huo huo unasema mabepari wamerudi na kurudisha ada kunafuata.mkuu ni bei ya mafuta ya kupikia imekuchanganya au[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah ila JF [emoji119][emoji119]
 
Soda Tsh 600 badala ya 500

Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500

Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=

Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=

Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.

Ahsante!
Kosa lililofanyika ni serikali kukiri kuwa vitu vitapanda bei. Wazalishaji wengi sasa wapo kwenye hatua ya kukamilisha new price list ya bidhaa maana hamna atakayeuliza kwanini bei imepanda maana wameshapata kauli kutoka serikalini.
Ni kweli mafuta na gesi vimepanda bei lakini bidhaa hizi haziwezi kuathiri uzalishaji wa mafuta ya kupikia. Najua hoja yao itakuwa distribution cost imeongezeka sababu ya kupanda kwa bei ya petroli na dizeli. Hata hivyo utetezi huo unaweza usiwe na mashiko maana bei ya mafuta ilianza kupanda tangu awamu ya 6 ichukue dola.
 
Sasa akina magufuli unaita waongo,wakati huo huo unasema mabepari wamerudi na kurudisha ada kunafuata.mkuu ni bei ya mafuta ya kupikia imekuchanganya au😄😄😄
Mheshimiwa, umenielewa vibaya! Sijawaita hai akina magufuli waongo! Isipokuwa nimesema Ujamaa wao ndiyo ulikuwa ni wa uongo! Maana haukuwa na uhalisia hata kidogo.

Na kwa sasa nchi imerudi kwenye Ubepari! Hivyo kila mtu lazima apambane kwa nafasi yake. Kinyume na hapo, inakula kwako.
 
Mama ntilie pekee ndio hajapandisha bei za msosi
mim nasita sana kula sikuhiz mitaan
hawa hawapandish bei ila kuna mahal wanatukata,kamasio hayo mafuta nasikia ukitia ya kitomoto ijiko viwil hayakauki sijui kwel,au nyany za mchuz zitakua masalo au mchele low quality ipo tu mahali anapata ahuen
 
Soda Tsh 600 badala ya 500

Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500

Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=

Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=

Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na bei. Tanzania hatuna uhaba wa mafuta.

Ahsante!
Wa kumlaumu si unamjua lakin.. nyie si ndo wapiga makof aka anti magu
 
Back
Top Bottom