Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Distribution cost
Bei ya mafuta imepanda na mama kaongeza tsh100 juu kwa kila lita.

Tutaisoma namba wote
IMG-20220331-WA0019.jpg
 
Nyakati zimeshabadilika! Hivyo na sisi pia tunatakiwa tubadilike. Nchi imerudi mikononi mwa Mabepari! Hakuna tena Ujamaa wa uongo wa akina Magufuli, Bashiru Ali na Polepole!

Ni suala tu la muda ada za shule nazo kurejeshwa! Hivyo katika mazingira kama haya, kulalamika tu haisaidii! Dawa pekee kwa 'Wanyonge' ni kuchukua hatua. Hii ni awamu ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake! Ukizubaa tu, umeachwa.
Well said
 
Kwa sasa hamna nafuu kwenye bidhaa yeyote aisee.

Tutafika ila tukiwa tumechoka sana sababu inafikia hatua mpaka kichwa kinauma namna unaendesha maisha.
 
Kwa sasa hamna nafuu kwenye bidhaa yeyote aisee.

Tutafika ila tukiwa tumechoka sana sababu inafikia hatua mpaka kichwa kinauma namna unaendesha maisha.
Na kawaida vitu vikipanda bei kushuka inakuwa mtihani
 
Back
Top Bottom