Shikamoo Walevi mwaka 2023/24 mmechangia Tsh 929B. Mpewe maua yenu
Ukijumlisha hela ya bia na spirit, na hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi nahisi 1T inafika
SOURCE: The Chanzo
1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
Mtu ukipiga hesabu hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi na ukajumlisha mafuta ya kusambazia bia nahisi 1T inafika.
Walevi wapewe maua yao.