Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Huyu jamaa ni bangeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh mtego huo,upande wangu unajulikana fatilia michango yangu jukwaa hili utajua tu

Nimekusoma, I wouldn't be on the other side.

Hata hivyo uchekeshaji wa Idriss ni wa kishamba sana, ana capitalize kwenye issues ambazo hata wakati mwingine hazichekeshagi.

Na anajaribu kufanya aina ya uchekeshaji wanaoufanya nje bila kuangalia utofauti wa mazingira.
 
Kweli kabisa na mara nyingi huwa anaambulia mapovu kama ya leo. Ila mapovu yenye ubuyu kumbe vimdada vya mjini vijanja vijanja vinahongwa 70,ila nywele na nguo wanavaa za laki na kuelekea juu
 
Kweli kabisa na mara nyingi huwa anaambulia mapovu kama ya leo. Ila mapovu yenye ubuyu kumbe vimdada vya mjini vijanja vijanja vinahongwa 70,ila nywele na nguo wanavaa za laki na kuelekea juu

Hivi wewe unadhani watu wanaishi vipi mjini?

Careers za Modeling, Actress, Musicians (wa kike + wa kiume kwa asilimia chache) ni limelight, zinawawezesha kupata wawezeshaji.

Kipato kinachotakana na kazi husika ni kidogo sana kusimamia maisha kwa mionekano yao.
 
wewe ni timu c.h.u.p.i kunuka aka hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…