Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Huyu jamaa ni bangeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh mtego huo,upande wangu unajulikana fatilia michango yangu jukwaa hili utajua tu

Nimekusoma, I wouldn't be on the other side.

Hata hivyo uchekeshaji wa Idriss ni wa kishamba sana, ana capitalize kwenye issues ambazo hata wakati mwingine hazichekeshagi.

Na anajaribu kufanya aina ya uchekeshaji wanaoufanya nje bila kuangalia utofauti wa mazingira.
 
Kweli kabisa na mara nyingi huwa anaambulia mapovu kama ya leo. Ila mapovu yenye ubuyu kumbe vimdada vya mjini vijanja vijanja vinahongwa 70,ila nywele na nguo wanavaa za laki na kuelekea juu

Hivi wewe unadhani watu wanaishi vipi mjini?

Careers za Modeling, Actress, Musicians (wa kike + wa kiume kwa asilimia chache) ni limelight, zinawawezesha kupata wawezeshaji.

Kipato kinachotakana na kazi husika ni kidogo sana kusimamia maisha kwa mionekano yao.
 
Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
wewe ni timu c.h.u.p.i kunuka aka hamisa
 
Back
Top Bottom