Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavyopenda sifa awe na miradi tusijue?Bado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Bado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Mmh mtego huo,upande wangu unajulikana fatilia michango yangu jukwaa hili utajua tu
mfuatilie utajua tu.Anavyopenda sifa awe na miradi tusijue?
Nimekusoma, I wouldn't be on the other side.
Hata hivyo uchekeshaji wa Idriss ni wa kishamba sana, ana capitalize kwenye issues ambazo hata wakati mwingine hazichekeshagi.
Na anajaribu kufanya aina ya uchekeshaji wanaoufanya nje bila kuangalia utofauti wa mazingira.
Hujielewi wewe.
Kweli kabisa na mara nyingi huwa anaambulia mapovu kama ya leo. Ila mapovu yenye ubuyu kumbe vimdada vya mjini vijanja vijanja vinahongwa 70,ila nywele na nguo wanavaa za laki na kuelekea juu
nani alimdanganya huyo Idriss kuwa anachekesha??
hicho ni kichekesho nacho?
Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa Angela's kimya kama hajayaona.
Sasa hivi hawaitwi serengeti boy,Ha ha ha ha ha kazi ipo kwa kweli chaaa ngachoka mie
wewe ni timu c.h.u.p.i kunuka aka hamisaHuyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera