Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Kuna huyu na Mange Kimambi.

Nilikuwa nampenda Mange alivyokuwa akikosoa serikali,ila siku hizi kakosa cha kuposti kazi kuwananga Diamond na familia yake.
nadhani huwa inategemea amepuliza bange za mtaa upi !!!!!!!!!!!
sasa hamchangishii lisu tena yupo na kiba na dai
 
Mr. Trevor Noah wanna be
 
Hapo kwenye comedian maarufu hapa nchini sijaelewa. Huyu jamaa pia ni comedian basi kama huyu ndio comedian hapa Tanzania kila mti comedian
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kakaangu anatafuta mtoto naona huyu hamisa incubator atafaaa kututotolea walau wawili ngoja nimpange bro
tena bei ya serikali kabisa elf 70 tu, mwambie bro achangamke
 
Comedian ni akina mzee small,majuto na wenzao enzi zile,siku hizi hawa comedian ni makajanja tu.
Hapo kwenye comedian maarufu hapa nchini sijaelewa. Huyu jamaa pia ni comedian basi kama huyu ndio comedian hapa Tanzania kila mti comedian
 
Very smart young lady. With her kind of analytical skills he would have made a brilliant career in Law.
 
tena bei ya serikali kabisa elf 70 tu, mwambie bro achangamke
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
wadada wawili wakiwa wanachambana, muwaache. idris na mdada mwenzie wakiwa katika ubora wao. mwanaume aliyekamilika hawezi kuandika kama alivyoandika huyu jamaa. hata kwa kutafuta kiki tu hawezi kufanya ivi.
 
Now,granted, Diamond may not be the image of integrity out there.

That was very disrespectful and shows lack of character on the part of Idriss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…