Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
ninakachukiaNakachukia sana haka kabinti .
Kamekondeana sana kwa sababu ya roho mbaya yake .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninakachukiaNakachukia sana haka kabinti .
Kamekondeana sana kwa sababu ya roho mbaya yake .
Kuna huyu na Mange Kimambi.ninakachukia
nadhani huwa inategemea amepuliza bange za mtaa upi !!!!!!!!!!!Kuna huyu na Mange Kimambi.
Nilikuwa nampenda Mange alivyokuwa akikosoa serikali,ila siku hizi kakosa cha kuposti kazi kuwananga Diamond na familia yake.
Mr. Trevor Noah wanna beNimekusoma, I wouldn't be on the other side.
Hata hivyo uchekeshaji wa Idriss ni wa kishamba sana, ana capitalize kwenye issues ambazo hata wakati mwingine hazichekeshagi.
Na anajaribu kufanya aina ya uchekeshaji wanaoufanya nje bila kuangalia utofauti wa mazingira.
Hapo kwenye comedian maarufu hapa nchini sijaelewa. Huyu jamaa pia ni comedian basi kama huyu ndio comedian hapa Tanzania kila mti comedianHaya hayaa dakika chachee tu baada ya mshind wa big brother na pia ni komedian maarufu hapa nchini Tanzania bwana idriss sultan kuandika caption kwa nia ya kumtakia heri ya kuzaliwa mwanamuziki diamond platnumz. Caption hio imemchukiza hamisa mabeto akihisi kasemwa yeye kiasi cha kumtolea mapovu idriss
CAPTION YA IDRISS
View attachment 601054
MAPOVU YA HAMISA NA JIBU LA IDRISS
View attachment 601041
We dada aliyekuoa kapata mke aiseeSi kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa angekaa kimya kama hajayaona.
tena bei ya serikali kabisa elf 70 tu, mwambie bro achangamke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kakaangu anatafuta mtoto naona huyu hamisa incubator atafaaa kututotolea walau wawili ngoja nimpange bro
Kijana anajielewa, ila aache kumfuatilia DiamondIddrisa keshaomba msamaha
Hapo kwenye comedian maarufu hapa nchini sijaelewa. Huyu jamaa pia ni comedian basi kama huyu ndio comedian hapa Tanzania kila mti comedian
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]tena bei ya serikali kabisa elf 70 tu, mwambie bro achangamke
Sure Hance?...or joke?Hapana.
Carry kasichana fulani hivi kijakazi wa idriss.
Oooh ok...poa mkuu, kumbe ni haka!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jmnlabda kama anawachekesha kuku na nyau.
Wenzake wa insta wanamwambiaga eti anawachekesha hadi machozi yanawatoka....nani alimdanganya huyo Idriss kuwa anachekesha??
Yaah ndo hako.Oooh ok...poa mkuu, kumbe ni haka!