Bifu kali kati ya Diamond na Clouds Media


Kwa sasa Diamond ni level kubwa mno hawategemei tena Clouds
 
Mnanikumbusha saana enzi zileee Tunamsifia Lunyamila na kumlinganisha na Roger Miller.
Wakati watu hawa hata kimaisha ni tofauti kabisaaaaa.
Ningependa mfaham kwamba Mashabiki kaibia wote wa Diamond tunamkubali sana Ali kiba,ila Kwa kusema kwamba umlinganishe kimafanikio na Diamond ni mbali saana tena saana.
Tatizo Team kiba wote hawakubali uwezo wa Diamond,wakati huo huo kwenye headphones zao wanasikiliza nyimbo za Diamond.
Mafanikio ya Mwanamuziki yoyote ni pesa tu,kwengine kooote ni Urembo tu
Kuna jamaa yangu Staff mwenzangu wa Kenya,namtajia Ali kiba ananiambia namkumbuka zamaniii,aiseee hahaha
Kenya ukisema Diamond basi hadi mtoto anamjua.
Naheshim sana uwezo wa Ali Kiba,ila ajipange sana kwa Diamond,maana Management yake imejipanga vizuri sana.Naamini hata Wachezaji wa Team za Kibongo hawa Simba,Yanga na wenzao,badi wangekuwa wanakubali kuwa na Managers wanaowasimamia,basi leo hii wengi wangekuwa wanakipiga nje.Ila tatizo wanaishi Kiujanjaujanja na kuona kwamba Kuajiri manager unapoteza pesa wakati ni kwa faida yako mwenyewe.Ronaldo ana Managers itakuwa Redondo wa Cha ndondo.
Kiba nakukubali ndugu yangu,ila jipange kwa Diamond.
 
Ukipendwa na kuhesimia na Citizen Tv na media zake kwa Kenya ni sawa na vyombo vyote vya habari vya kibongo
Kwa hiyo hao jamaa ambao wamezoea kupiga hela kwa Wanamuziki wajue wanamuziki wa leo sio waleee wa Enzi hizo hata Lady Jaydee nae amestuka baada ya kuteleza kipindi hicho.
Diamond anaweza kusimama mwenyewe,na anauwezo wa kuna na Management hata ya Nje ya Nchi Na huko ndio anakoelekea.
 
Mimi nataka kuuliza hivi hio Jembe FM haifiki Dar...
 
Naangalia mtandao wa Milard mpaka sasa haja-post Matukio ya Diamond yoyote aliyoyafanya weekend hii Mwanza, licha ya kuwepo mwanamziki mkubwa duniani.

je kuna Beef?
 
Hehe kuna watu akilini mwao bado ni usiku mnene. Mtu sipopostiwa tayari ni bifu [emoji28] .
Duh
"Kweli thamani ya ubongo hupimwa na ulimu"[emoji28]
 
Post zangu unafuta na sijandika matusi hata moja leo mara ya pili majuz nlipost kuhusu mbowe na elim yake ikafutwa leo nimepost kuhusu diamond na clouds siion jaman au kunatatizo
Labda fiction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…