Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Hapa kutakuwa na ugomvi kati ya lile kundi linalomzunguka Diamond yaani management yake na Clouds media. Kwa mtizamo wa ndani chanzo cha huu ugomvi unaweza kuwa mgomo baridi wa hii new management ya Diamond kukataa kubeba unga wa Clouds. Kumbuka, Clouds ndiyo inakuza na kuua vipaji vya wasanii hapa bongo. Ukishindwa kubeba sembe unanyimwa "Air Time." Simple as that.
Kwa sasa Diamond ni level kubwa mno hawategemei tena Clouds