Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

basi kuanzia leo wewe ni team kiba sawa mkuu
marufuku kubwa....ishia huko na team zako, afu hivi huwa hamuoni aibu kukaa kushindana na mtu ambae hana time, mnamsema ana bifu hana time mnamshindanisha still hana time yani nyie ni kama mnagombana na ukuta ye yupo bize na ma kijacho wake na songi zake za malove kazi kumfata fata kama NZI vile ha ha ha
 
wewe lukelo tunakujua unavyojitahidi kumshusha Diamond

Yaani hadi sasa inabidi ukae chini na kutunga uongo...hivi kama miziki yako haifanyikiwi y kumvalia njuga Diamond.

Umeanza kuboa sasa,

Amkasirikie kwa wema nani yake Diamond.

Umemsema miziki umeshushuka now ubaleta nini

Na ukiendelea utashindwa kupaa wewe na timu ile unayoishadadia.
 
we nae umezidi una uhakika na UNACHO KINENA???k wako katulia kivipi? unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...

Huyu mleta mada anajitahidi sana kumwandika Diamond vibaya, ni kama halali usiku analia tu

Juzi kaja na uzi wa kuomba ushauri wa kupaa kimziki baada ya kujaribu kumshusha Diamobd humu na kutopata majibu anayotaka.

Sasa anakuja na hili, halafu alianzaga na Kiba nadhani ndio timu yake now kaamua kutunga hili

Sheria inakuja lini...
 
Hapa bongo hakuna msanii aliyetulia kama K 4 REAL

Sasa ushauri ulioomba juzi mlishauriana vipi kuufanyia kazi ili K wako apae.

Yaani ulishaambiwa hizi uzi zako unazidi tu kumpa promo Diamond bali huwa usikii

Sasa kuliko kujaribu kumshusha weye na mnayemtukanaga as inajulikana sio lazima kupenda kila msanii

Bali inabidi uandike nini cha huyo K wenu ili jae apae....mpe promo sio kumwaribia....

Inakuuma utazani Diamond ameenda kukaa mdomoni mwa k ili awe alipo kimuziki.

Acha wivu
 
we nae umezidi una uhakika na UNACHO KINENA???k wako katulia kivipi? unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...

dah! we Evelyn Salt kumbe mgomvi hivi! hahahaha
sasa ulitaka jamaa ajibu anahakika anacho kinena duh!
 
Huyu mleta mada anajitahidi sana kumwandika Diamond vibaya, ni kama halali usiku analia tuJuzi kaja na uzi wa kuomba ushauri wa kupaa kimziki baada ya kujaribu kumshusha Diamobd humu na kutopata majibu anayotaka.Sasa anakuja na hili, halafu alianzaga na Kiba nadhani ndio timu yake now kaamua kutunga hiliSheria inakuja lini...
huyu nae ni K tu ha ha ha mshabiki wa k for real
 
huyu nae ni K tu ha ha ha mshabiki wa k for real

K yupo redioni leo, badala aaamke afikilie ampeje promo yeye anakimbilia kumpa Diamond promo....then anajiweka humu kama ataweza kufa kwa ajili ya K.
 
K yupo redioni leo, badala aaamke afikilie ampeje promo yeye anakimbilia kumpa Diamond promo....then anajiweka humu kama ataweza kufa kwa ajili ya K.
ha ha ha anahangaika buree tu huyu wanakomaa kutengeneza bif dai hana hata time ye yupo bize kutangaza show zake...nw UK na dubai hawa mbululaz wapo bize kumshindanisha na K (sijui K gani) wanashindana na asieshindana
 
hahahahhaha...

Kakimbia harudi tena huyo K,
Show ya Dubai kiingilio 76k dadeq.
 
marufuku kubwa....ishia huko na team zako, afu hivi huwa hamuoni aibu kukaa kushindana na mtu ambae hana time, mnamsema ana bifu hana time mnamshindanisha still hana time yani nyie ni kama mnagombana na ukuta ye yupo bize na ma kijacho wake na songi zake za malove kazi kumfata fata kama NZI vile ha ha ha

Sishabikii timu ila yuko bize na songi maviiii song gan ya maana khaaaa we na ye so annoying alaaaa
 
Back
Top Bottom