Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
unawajua watoto wake kona zote? unawajua mama zao?na hapo hajaoa katulia nini labda katulia kifuani kwako ha ha haHapa bongo hakuna msanii aliyetulia kama K 4 REAL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unawajua watoto wake kona zote? unawajua mama zao?na hapo hajaoa katulia nini labda katulia kifuani kwako ha ha haHapa bongo hakuna msanii aliyetulia kama K 4 REAL
marufuku kubwa....ishia huko na team zako, afu hivi huwa hamuoni aibu kukaa kushindana na mtu ambae hana time, mnamsema ana bifu hana time mnamshindanisha still hana time yani nyie ni kama mnagombana na ukuta ye yupo bize na ma kijacho wake na songi zake za malove kazi kumfata fata kama NZI vile ha ha habasi kuanzia leo wewe ni team kiba sawa mkuu
we nae umezidi una uhakika na UNACHO KINENA???k wako katulia kivipi? unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...
Hapa bongo hakuna msanii aliyetulia kama K 4 REAL
we nae umezidi una uhakika na UNACHO KINENA???k wako katulia kivipi? unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...
ajibu kua anauhakika na anachokinenadah! we Evelyn Salt kumbe mgomvi hivi! hahahahasasa ulitaka jamaa ajibu anahakika anacho kinena duh!
ajibu kua anauhakika na anachokinena
huyu nae ni K tu ha ha ha mshabiki wa k for realHuyu mleta mada anajitahidi sana kumwandika Diamond vibaya, ni kama halali usiku analia tuJuzi kaja na uzi wa kuomba ushauri wa kupaa kimziki baada ya kujaribu kumshusha Diamobd humu na kutopata majibu anayotaka.Sasa anakuja na hili, halafu alianzaga na Kiba nadhani ndio timu yake now kaamua kutunga hiliSheria inakuja lini...
unayajua matusi weyeutatukana matusi bure
huyu nae ni k tu ha ha ha mshabiki wa k for real
yap nawe ni k 4 realk 4 real
huyu nae ni K tu ha ha ha mshabiki wa k for real
ha ha ha anahangaika buree tu huyu wanakomaa kutengeneza bif dai hana hata time ye yupo bize kutangaza show zake...nw UK na dubai hawa mbululaz wapo bize kumshindanisha na K (sijui K gani) wanashindana na asieshindanaK yupo redioni leo, badala aaamke afikilie ampeje promo yeye anakimbilia kumpa Diamond promo....then anajiweka humu kama ataweza kufa kwa ajili ya K.
ha ha ha anahangaika buree tu huyu wanakomaa kutengeneza bif dai hana hata time ye yupo bize kutangaza show zake...nw UK na dubai hawa mbululaz wapo bize kumshindanisha na K (sijui K gani) wanashindana na asieshindana
marufuku kubwa....ishia huko na team zako, afu hivi huwa hamuoni aibu kukaa kushindana na mtu ambae hana time, mnamsema ana bifu hana time mnamshindanisha still hana time yani nyie ni kama mnagombana na ukuta ye yupo bize na ma kijacho wake na songi zake za malove kazi kumfata fata kama NZI vile ha ha ha