Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

Anayemlalamikia aliyemwibia na kuamua kumtaja Diamond akijua fika D ni mvaaji

Why ameogopa kutaja aliyetajwa kwenye caption ya D?

Jinga limeandikiwa likatoa chuki kurusha kachemka, kwani mty labda aninunulie blouse nitamshukuru aliyeni nunulia au jina la duka?

Ndio maoni yangu
 
Attachments

  • 1432487910291.jpg
    25.4 KB · Views: 410

Tunafanya hivyo kimazoea na huku ni mbali.... ila mafundi au designers wanafanya makosa bila kuelewa... Ukienda na picha ya suti ya Jay-Z kavaa Gucci, akikushonea fundi ukishtakiwa imekula kwako..
 
Sijajua kwa nini kamlenga D moja kwa moja ila nafikiri ameona ni official designer wake, maybe kiutaratibu D ndio responsible. Sina uhakika.
 
Shule muhimu wanashindwa kutofautisha designer mwingine na stylist ni mwingine ndo kilichomkuta dai angesema stylist wake kusingekuwa na matatizo yote haya

Diamond amesema hilo siku aliyorusha hiyo picha ndio maana mie nashangaa y huyo mtu amrona na jina na hakumtafuta maana amewekwa pale.

Picha ya post ipo humu hapo juu, angetaka angemshambulia stylist na sio Diamond.

Kimya kimya angemtafuta D angeondoa caption au hata kuondoa post kabisa...kimya kimya

Lazima kuna waliomuandikia huyo kaka watanzania ni hatari kusemeana mtu ashuke wanajaribu sana.
 
Stylist hana jina kama Dai anatafuta nitoke vipi
 
Mtoto wa Tandale anakumaliza hadi raha. Kumbuka aliuza mitumba huyoooo

Rafiki futa comment yako uloniquote, elewa nilicho mjibu ladykims then uelewe ni nani ninamzungumzia hapo. Namzungumzia chagabibi alivyokomalia hiyo issue wakati yeye kila kilicho chake ni fake!
 
Last edited by a moderator:
Rafiki futa comment yako uloniquote, elewa nilicho mjibu ladykims then uelewe ni nani ninamzungumzia hapo. Namzungumzia chagabibi alivyokomalia hiyo issue wakati yeye kila kilicho chake ni fake!
Msamehe hajaelewa tulichokuwa tunazungumza
 
Last edited by a moderator:
Rafiki futa comment yako uloniquote, elewa nilicho mjibu ladykims then uelewe ni nani ninamzungumzia hapo. Namzungumzia chagabibi alivyokomalia hiyo issue wakati yeye kila kilicho chake ni fake!

Sorry mamii, ok tena nilizani jina kama lako limekaribia kufanana
 
Last edited by a moderator:
Kibongo bongo watu wanaona sawa na mapovu yanawatoka....

Lakini kwa wenzetu si sawa....alipaswa ampe credit huyo rope rope sijui topetope

Na ingekuwa kwa wenzetu lawsuit ingemhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…