Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chibu na kataja nani ....
Kwani mtu akija akakuvalisha wewe ndio utalaumiwa?
Hii kitu ni labda awe makini na hao wanatoa maujuzi wapi
Ila tunajijua tangu enzi asili hata nchini mwetu watu wanacopy mitindo kwenye mapicha.
Sasa mlalamikaji aende kumsaka aliye staili vazi na sio Diamond. Maana kaweka kwenye caption
Anayemlalamikia aliyemwibia na kuamua kumtaja Diamond akijua fika D ni mvaaji
Why ameogopa kutaja aliyetajwa kwenye caption ya D?
Jinga limeandikiwa likatoa chuki kurusha kachemka, kwani mty labda aninunulie blouse nitamshukuru aliyeni nunulia au jina la duka?
Ndio maoni yangu
Shule muhimu wanashindwa kutofautisha designer mwingine na stylist ni mwingine ndo kilichomkuta dai angesema stylist wake kusingekuwa na matatizo yote haya
Sio anavaa feki tu, ye mwenyewe feki kila kitu!Nadhani alimaanisha stylist akakosea lugha ya malkia ngumu. Watu walivyoshadadia huyo chagabibi kakomalia wakati yeye kutwa kuvaa feki
Stylist hana jina kama Dai anatafuta nitoke vipiDiamond amesema hilo siku aliyorusha hiyo picha ndio maana mie nashangaa y huyo mtu amrona na jina na hakumtafuta maana amewekwa pale.
Picha ya post ipo humu hapo juu, angetaka angemshambulia stylist na sio Diamond.
Kimya kimya angemtafuta D angeondoa caption au hata kuondoa post kabisa...kimya kimya
Lazima kuna waliomuandikia huyo kaka watanzania ni hatari kusemeana mtu ashuke wanajaribu sana.
Sio anavaa feki tu, ye mwenyewe feki kila kitu!
Sio anavaa feki tu, ye mwenyewe feki kila kitu!
Mtoto wa Tandale anakumaliza hadi raha. Kumbuka aliuza mitumba huyoooo
Msamehe hajaelewa tulichokuwa tunazungumzaRafiki futa comment yako uloniquote, elewa nilicho mjibu ladykims then uelewe ni nani ninamzungumzia hapo. Namzungumzia chagabibi alivyokomalia hiyo issue wakati yeye kila kilicho chake ni fake!
Umeona yaani kakomalia Dai kugombana na Zari ndo kumchukia Dai
Shangaa na wewe! Kama ana jeuri aweke picha za before and after tumcheke!
Rafiki futa comment yako uloniquote, elewa nilicho mjibu ladykims then uelewe ni nani ninamzungumzia hapo. Namzungumzia chagabibi alivyokomalia hiyo issue wakati yeye kila kilicho chake ni fake!
Sorry mamii, ok tena nilizani jina kama lako limekaribia kufanana