Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa



umerudia rudia jambo moja mwanzo mwisho.
 
Waacheni watukanane tu!! Wema mtukanaji na timu yake watukanaji, diamond mtukanaji na timu yake watukanaji, kiba yeye akitakaga kutukana mtu anaituma timu yake hatukani mwenyewe...

Waache watukanane tu, si wenyewe ndio wameamua hiyo iwe staili yao ya kusihi mjini, waacheni watukanane kama mapunguwani..
 


unakumbuka EAST COAST TEAM NA TMK? HARD BLASTAZ NA GANGWE MOB?
 
Msiba mkubwa unakuja leo kwenye radio zako. Raymond ni konyo sana shehe. Wcb baby!
Nataka niandikwe kwenye gazeti, niuze sura
Niseme ninatoka Na joketi,
Kitandani Picha Na feza kesi au Snura,Nilete matata
mpaka kwa grace
kwenye radio zote Mpaka runinga ,nitangaze kwa
kuvimba kwamba Lulu Ana yangu mimba, Au niwatukane wote wanaoimba kwa dharau Na
kuvimba hadi anayejiita simba
.........................ENDELEA
 
Hebu mwenye hiyo clip haiweke hapa ili tuhukumu vizuri,kama kweli alisema/kuimba hivo hakufanya fair,LAKINI TUSIWE KAMA WALIVYO HAO WANAOITWA "timu wema" WANATUKANA HATA KAMA KITU HAKIPO HIVO. SASA MWENYE HIYO CLIP HAIWEKE TUONDOE MZIZI WA FITINA.
 
NI KOSA KUBWA SANA KUMLAUMU MTU AMBAYE HUJADHIBITISHA KAULI YAKE, HEBU WEKENI HIKO KIPANDE CHA HIYO VIDEO AKISEMA/AKIIMBA HIVO TUSIWE KAMA MAJITU YA OVYO HATA MAHAKAMANI HAIKO HIVO.
 
Dogo melewa sifa. Mziki kauingilia kwa mguu wa kushoto.
Inaonyesha mwenzetu umekiona hiko kijipande cha hiyo video hebu tuwekee hapa ili na sisi tumchambe vizuri,au kama hakusema/kuimba hivo basi na sisi tuonyeshe ufundi wetu wa mitusi kwa hao waliojitoa akili.
 
We umeongea huwa nasikitika tu lakini wakati mwingine wala siwaonei huruma kwa sababu wanayataka wenyewe na uwezo wa kuyazuia haya mambo yako ndani ya uwezo wao.
 
Hawa timu cjui nani nani hawanaga kazi??maana kwa matusi tu hawajambo daaaaaa
 
Hahahahahah huyo Wema ndio malkia wao huko instagram ana followers million + ila akiitisha party wanakuja watu 50.. Lipstick zake alianza kuuza elfu 50 sasa hivi zimefika elfu 5. Sijui anafaidikaje na hii team huyu Wema. At least Diamond anapata watu wa kumpigia kura na kwenda kwenye shows na Ali Kiba ametumia fursa vizuri sasa anapata wapiga kura na views nyingi.. All in all matusi wote wanatukana huyo Wema anamtukana mpaka mtoto wa Diamond. So sioni tatizo lolote kwa huyo kijana kufanya mwendelezo.
 



Harmonize ndo nani??
 
Wala hakumtaja sepetu ni nyie timu Wema mnatafuta kiki tu...

Angalia clip vizuri ni wapi Harmonize kamtaja Wema?!
Kamtaja na mwenyewe ame admit kuwa wamepanga huo WcF kuwa wamseme Wema ili waupe kiki mwimbo wao mpya.

Au na hiyo clip hujaisikia pia, mana mwenzetu una mapenzi na hao Harmonize hadi nyekundu unaiona njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…