usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Nenda insta utafrah na roho yakoHiyo mitusi iko wapi!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda insta utafrah na roho yakoHiyo mitusi iko wapi!??
MMAKONDEHivi huyu Harmonize ni kabila gani?
Mbona anakihede mswede sana?
Teh teh teh na akijikuna tunamuongezea na bakora.[emoji23] [emoji23] ngoja umuwashe ndo atajua maaana ameona kibaa anasonga mbele povu lnamtoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anataka arudi kwao akalime Korosho, hawajui wabongo vizuri.Mmakonde huyo amesahau km alikuja mjin na gar la korosho
Kuuuuumbe ndio mana,MMAKONDE
Kusema kweli asili za hizi timu ni kiba, kabla ya kiba Kutoka kulikuwa hamna timu, baada ya jamaa kumtangazia ubaya diamond, haitoshi akaenda kuunganisha nguvu zake na kidoti na wema ndio tim zilipoanza. Wanapiga kampeni za chini chini we dogo akosa baadhi ya tuzo anazo stahili na kama haitoshi wakahamia mtv bahati nzuri dogo akatusia. Baadae ndio ikaanza timu mondi, na peji za instagram zikafunguliwa na wapo wengine na sikia wanasapotiwa na hawa mastaa uhakika ninao. ILA NIKIRUDI KWA HARMONIZE KAKOSEA ishu ya boss wake na wema awaachie wenyewe, alafu hata maneno aliyotoa yana ukakasi masikioni si mazuri. ILA WEMA NA KIBA ndio walianzisha hizi timu wamemponda anasura mbeya, mwanaye mbaya, hajui kuimba etc lkn dogo anazidi kusogea. CHA MSINGI WEMA, KIBA NA MONDI WAO NDIO WAKUVUNJA HIZI TIMU na MONDI AONGEE NA HARMONIZE aombe msamaha. ILA ASILI ZA HIZI TIMU NI KIBA baada ya kumtangazia ubaya na hasira ya WEMA KUACHWA timu hizi zikazaliwa na zinaua sana mziki wetu. Huko nyuma kabla ya kiba kurudi kulikuwa hamna timu hata rotation ya mziki ilikuwa fair ila sasa hivi KIBA au MONDI hata wakitoa nyimbo mbaya itakuwa nzuri, bahati mbaya hizi timu zimezigawanya baadhi ya media na watangazaji a zinsababisha baadhi ya nyimbo zisionekane. Nyimbo kama subira ya kasim mganga, jafarai ft kasim mganga na nyinginezo za mwaka jana hazijapata air time za kutosha ukizitima ni nyimbo kali sana.

Nataka niandikwe kwenye gazeti, niuze suraMsiba mkubwa unakuja leo kwenye radio zako. Raymond ni konyo sana shehe. Wcb baby!
Inaonyesha mwenzetu umekiona hiko kijipande cha hiyo video hebu tuwekee hapa ili na sisi tumchambe vizuri,au kama hakusema/kuimba hivo basi na sisi tuonyeshe ufundi wetu wa mitusi kwa hao waliojitoa akili.Dogo melewa sifa. Mziki kauingilia kwa mguu wa kushoto.
We umeongea huwa nasikitika tu lakini wakati mwingine wala siwaonei huruma kwa sababu wanayataka wenyewe na uwezo wa kuyazuia haya mambo yako ndani ya uwezo wao.Waacheni watukanane tu!! Wema mtukanaji na timu yake watukanaji, diamond mtukanaji na timu yake watukanaji, kiba yeye akitakaga kutukana mtu anaituma timu yake hatukani mwenyewe...
Waache watukanane tu, si wenyewe ndio wameamua hiyo iwe staili yao ya kusihi mjini, waacheni watukanane kama mapunguwani..
Hahahahahah huyo Wema ndio malkia wao huko instagram ana followers million + ila akiitisha party wanakuja watu 50.. Lipstick zake alianza kuuza elfu 50 sasa hivi zimefika elfu 5. Sijui anafaidikaje na hii team huyu Wema. At least Diamond anapata watu wa kumpigia kura na kwenda kwenye shows na Ali Kiba ametumia fursa vizuri sasa anapata wapiga kura na views nyingi.. All in all matusi wote wanatukana huyo Wema anamtukana mpaka mtoto wa Diamond. So sioni tatizo lolote kwa huyo kijana kufanya mwendelezo.Waacheni watukanane tu!! Wema mtukanaji na timu yake watukanaji, diamond mtukanaji na timu yake watukanaji, kiba yeye akitakaga kutukana mtu anaituma timu yake hatukani mwenyewe...
Waache watukanane tu, si wenyewe ndio wameamua hiyo iwe staili yao ya kusihi mjini, waacheni watukanane kama mapunguwani..
Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu.
Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga matusi yote ya dunia hii kutoka kwa team Wema.
"sista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu " - Harmonize
Kamtaja na mwenyewe ame admit kuwa wamepanga huo WcF kuwa wamseme Wema ili waupe kiki mwimbo wao mpya.Wala hakumtaja sepetu ni nyie timu Wema mnatafuta kiki tu...
Angalia clip vizuri ni wapi Harmonize kamtaja Wema?!
Tumsamehe bure, alikua anafanya majaribio ya simu yake.[emoji1] [emoji1]Daah kumbe naww umeona mkuu, barua imejaa majina 2, kiba, wema, diamond na neno wameanza
job is available