Bifu la Jokate na Flavian Matata linapamba moto chinichini, kisa?

Bifu la Jokate na Flavian Matata linapamba moto chinichini, kisa?

Swala hapo ubora tu....makampuni ya simu yanatoa simu kila siku mbona usikii yakilalamika kuigana?!

Huyo Flavian aache tabia za "Kizaramo" afanye kazi.
 
Ila anayedai idea yake kuibwa kasema atakuja na nyingine kwani kinacho-matter ni brain sasa tusubiri tuone kama kweli mwenzie kaiba au la kwani atatoa nyingine.
 
mbona magari, TV, Radio, phones zipo nyingi na watu hawa chambani kazi isio na ushindani ni ya mtoa roho tu
 
Hapo hakuna cha kuiba wala kuibiwa kila mtu afanye biashara kutokana na ubora wa bidhaa zaje asonge mbele.[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG] mwingine JF hatupendagi.
 
Afanye kazi aache kulalamika.
Huyu flaviana toka alipomsema millen magese nilimuona mshari shari
 
Bifu za maendeleo safi mn bifu zinazoniboa ni zile za papuchi
 
Huyu makombo jokate ni mwizi wa ideas coz kwny kumbukumbu zangu cyo mara ya kwanza kulalamikiwa kwny ishu hizi

Nakumbuka kuna kipindi sir nature alimlalamikia sana kidoti kuhusu brand ya kandambili za kidoti ambazo wazo la kwanza kabisa lilitoka kwa nature hazikupita hata Sikh ngp jokate akaingiza sokon kandambili zake za kidoti......na hata huwa sizioni sijui ziliishia wapi......ww makombo kidoti cjui, you have to be creative don't poke other's idea unaboa
Ni kawaida yake Jojo huyu c aliiba pia idea ya kushindanisha wadada kusuka times f.m naona pumzi ikaisha akuendelea
 
Wote waache lawama na wafanye biashara hili ni soko huria la ushindani
 
Kama Flavian alikua anamwambia Kidoti basi ni mtu mjinga.
Idea ya kutengeneza bags ni idea mpya? Hehehe hata mimi nipo nimeanza kuwasiliana na manufacturers wanitengenezee bags design yangu mwenyewe, ni business tu. Watu wameuza bags miaka zaidi ya 100, angalia kama hilo bag jeusi la kidoti, bag moja poa sana. Competition is a good thing, washindane waache kelele.
 
Ni kawaida yake Jojo huyu c aliiba pia idea ya kushindanisha wadada kusuka times f.m naona pumzi ikaisha akuendelea
Nimekumbka kweli huyu dada anaboa San mbn asiwe mmbunifu tu.....juzi juzi tu katudanyanya kambunia bwana wake vazi la fiesta na kujitapa hajaiga sehem yyt cha ajabu kumbe alikuwa kaiga kutoka kwa msanii mmoja iv wa mtoni farel Williams
 
Daah joket kalalamika had nimeona huruma !! Sipat picha nakale kasura kake
 
Heee basi sawa lakini sio vibaya mbona kiba kamuiga mondi kofia tshirt nabado anaiga mengi tu mazur ya mond sio vibaya kabisa vibaya kama unaiga nakuharibu
 
Back
Top Bottom