Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Dudu pleaseee sema su tupate umbea wa kushindia leo!!! Tafadhali bwana konki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!Dudu pleaseee sema su tupate umbea wa kushindia leo!!! Tafadhali bwana konki
Wewe mda wa kufuatilia misutano ya wake kwa waume umeutoa wapi
Konkiiii master wenu anaenda kudhalilika wallah....laana ya Mange haijawahi kumwacha mtu salama, ukitaka kuamini haya waulize Wema na Bashite.....Ni watu wa huzuni na kulia lia tu media na makanisani....
DUDU BAYA KAJITOA AKILI HASWA MAANA YEYE NI SHOGA LAKINI ANA UJASIRI WA KUWATUHUMU MASHOGA WENZAKE HADHARANI.Ukitaka kupata umaarufu wa haraka BOngo jitoe akili tu
Konkiiii master wenu anaenda kudhalilika wallah....laana ya Mange haijawahi kumwacha mtu salama, ukitaka kuamini haya waulize Wema na Bashite.....Ni watu wa huzuni na kulia lia tu media na makanisani....
DUDU BAYA KAJITOA AKILI HASWA MAANA YEYE NI SHOGA LAKINI ANA UJASIRI WA KUWATUHUMU MASHOGA WENZAKE HADHARANI.
KWAHIYO UBASHA NI SIFA?NAONA UNAJIFARIJI .......SANA SANA ALIKUWA ANAWASHUGHULIKIA MASHOGA aka BASHA.........KONKI KONKI KONKI MASTER
January alimlipia mzungu deni lla hotel bila kupenda.Mange balaa ana siri za kila mtanzania.Jiulize alijuaje miezi 6 kabla juu ya 2nd lady baadae tunajionea u dcDudu pleaseee sema su tupate umbea wa kushindia leo!!! Tafadhali bwana konki
Hivi nani kawahi kumshinda Mange? Yule dada kama wewe ni mtu maarufu sio wa kumchokoza achana nae,
hawezi kusema suuu anajua uchafu aliokuwa akiufanya enzi zilee magomeni..!Dudu pleaseee sema su tupate umbea wa kushindia leo!!! Tafadhali bwana konki
mkuu basha nae ni shoga..!!au we unaelewa vipi ukisikia neno " shoga"???NAONA UNAJIFARIJI .......SANA SANA ALIKUWA ANAWASHUGHULIKIA MASHOGA aka BASHA.........KONKI KONKI KONKI MASTER